Diodorus KAMALA yuko UK ziarani

Masanilo kwa dharau anaongoza. Wengine wote vihiyo, msomi ni yeye tu na kundi lake.

Masanilo, hivi Tanzania umewahi kugundua nini?

Ukiwa umezungukwa na akina the so called Muheza utafanya nini?Jaribu kufikiri globally. Naona uko busy kutetea kisichowezekana! Learn to speak volumes. Kila laheri.
 
ivi ni kila waziri lazima aende ulaya ktk kipindi cha uongozi wake? uyu ni waziri wa east africa sasa uko london ana ajenda gani kubwa? kama mwenzetu alivyosema serikali ya kikwete imeona kuwa fool watu wamekuja na ufisadi wa aina yao kama izi per diem etc
 
Muheza,i didnt know you can be this positive,una mpango ama unagombea ubunge?
Unachosema ni kweli,hatahivyo vihiyo ni lazima wadharauliwe....Kama unaujuwa uchungu wa kuipata one.

Hapana mzee wangu! Ubavu huo sina labda labda niwe pacha na Mtanzania kama akina Masanilo wanavyo imply kwenye thread moja. Wamekuwa Yahaya wa kujua nani ni nani hapa JF.

Sasa mzee wangu unataka kila siku niwe negative tu? Unataka nife kwa pressure?

Ila Kamala sio kihiyo, basi tamaa yake tu kutaka kuitwa Dr.

Labda sisi wananchi ndio tuna makosa maana tukisikia mtu ni Dr basi tunaona huyo ndiye atamaliza matatizo yetu yote.

Sasa Jmushi1, swali bila utani, unagombea wapi?
 
Waziri wa East Africa,mwenye Phd fake yuko Uk kuonana na WaTz.
atakuwa 18/06 London,19/06 Reading na 20/06 Manchester.

Kama wewe Mtz mpiga box huko una nafasi nenda ukamwone huyu Mheshimiwa akila per diem yake vizuri

NA AKIPATA NAFASI BAADA YA KUTOKA READING ATAHUDHURIA KIKAO CHA CCM HUKO BIRMINGHAM :dance::dance:, SIJUI WATAMKABIDHI VILE VIDUBWASHA VYA KUFUNGULI CHUPA ZA POMBE NA VINYWAJI BARIDI VINAVYOTOA NA MUZIKI WA CCM .....
 
Hapana mzee wangu! Ubavu huo sina labda labda niwe pacha na Mtanzania kama akina Masanilo wanavyo imply kwenye thread moja. Wamekuwa Yahaya wa kujua nani ni nani hapa JF.

Sasa mzee wangu unataka kila siku niwe negative tu? Unataka nife kwa pressure?

Ila Kamala sio kihiyo, basi tamaa yake tu kutaka kuitwa Dr.

Labda sisi wananchi ndio tuna makosa maana tukisikia mtu ni Dr basi tunaona huyo ndiye atamaliza matatizo yetu yote.

Sasa Jmushi1, swali bila utani, unagombea wapi?

Namjibia, anagombea Kyela ! Watu mnajiabisha sana.....Kwanini usingejibu kule unakimbilia huku!
 
Ndugu Muheza, siyo lazima uwe na gari bomba kusema kuwa jamaa fulani kanunua mkweche. Ndo maana Dr Remmy aliwahi kuandika kwenye mkweche wake kuwa, "ETI IMECHAKAA, BABA YAKO ANAYO?". Kwa hiyo usianze kumzuia ndugu Masa kuongea eti kwa sababu hajagundua. Vinginevyo wote itabidi tunyamaze. Wapo watu hapa wanamsema vibaya Kamala kwamba kashindwa kuongoza wizara, ila ni kwa sababu yeye amejaribu na ndiyo maana tunaweza kutoa maoni kama kashindwa au kaweza. Je, tusiongee hadi tuwe Wakuu wa mikoa, mawaziri n.k; au wote tugundue mwezi mwingine? Kuna watu humu hawajawahi kuongoza hata kundi la watoto au kufanya jambo la maana kwenye jamii. Je hao nao wanyamaze?

Heri na wewe umeliona hili! Salama lakini mkuu?
 
Namjibia, anagombea Kyela ! Watu mnajiabisha sana.....Kwanini usingejibu kule unakimbilia huku!

Masanilo una matatizo makubwa sana bro!

Hii tabia yako ya kujifanya unamjua kila anayeandika hapa JF inakudanganya sana. Endelea vita yako na mtanzania lakini acha kumhusisha kila anayeandika usilolipenda.

Inaelekea ni mhusika au uko obsessed na mambo ya Kyela.
 
Back
Top Bottom