Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,197
- 12,869
Umemjibu vyemaSIO PEPONI TU,hata duianini,kanisani unatumia maneno ya kiarabu na umejifunza ,bila kujijua unajifundisha kiarabu,hata neno salama(kiarabu)Habari(kiarabu)Kanisa(kiarabu)Kitubio(kiarabu)Sadaka(kiarabu)Zaka(kiarabu)Kasisi(kiarabu)Toba(kiarabu)nk.Hata hicho kiswahili,ulichoandika,karibia asilimia kubwa ni maneno ya kiarabu.Ukichunguza zaidi,maneno mengi ya lugha nyingi duniani ni kiarabu,kuna maneno au namba za kiarabu.Kwenye science,maneno mengi ni ya kiarabu,kuanzia masomo yenyewe
1:Chemistry-Kemia ni kiarabu
2.Hisabati ni Kiarabu
3.Doctor -Ductour -Daktari ni kiarabu
4.Namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9,ni namba za kiarabu.
5.Mhandisi,ni neno la kiarabu
6.Mwalimu ni neno la kiarabu.
7.Darasa ni neno la kiarabu
8.Elimu ni neno la kiarabu
9.sayari ni neno la kiarabu
10.Rais ni neno la kiarabu
11.Waziri ni neno la kiarabu
12 .Wizara ni neno la kiarabu
13.Neno Swahili ni neno la kiarabu
14.Hatari,Furaha,Rafiki,Tafadhali,Baridi,Dhamiri,Kamusi,Huru,Habari,Kata,Msumari,Kitabu,Mahali,
15.Nyakati,:Asubuhi,Dakika,Saa,Wakati,alasiri,Magharibi,Alfajiri,karne,
16 .Juma(weeki),Alhamisi,ijumaa.
17.Tausi
18.Nusu,Robo,Sita,saba,Tisa,Ishirini,Thelathini,Arubaini,Hamsini,Sitini,Sabiini,Themanini,Tisiini,Mia,Elfu,
19.Dini.
20 Msamiati mwingi unaotumika kwenye dini ya kiislamu na Kikristo una asili ya kiarabu:
Ibada
Msikiti
Kanisa
Zaka
Sadaka
MALAIKA
SHETANI
Thawabu
Dhambi
Kasisi
Imamu
Kitubio
21.Mjina ya kamikali,zote yanayoanzia na Al,kama alkaline,alkal,Alkaline,Alkaloid, nk
Hapo ulipo unatumia maneno ya kiarabu ,bila kujijua au unajijua,lakini huelewi.
Ndio maana nikaweka mpaka maelezo ya ugonjwa wa schizophrenia Yani ni kudhani umefanya jambo kumbe hujafanya, huyo myahudi alimloga Muhammad kwa kumtupia ugonjwa wa akiliHadithi hii hapa kwa ukamlifu wake.
The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.
Safi kabisa hili si ndiyo ulilolizua katika muendelezo wako wa kuzusha uongo. Au hujaelewa hata unachokiandika nacho ni uongo ? Yaani Mtume hakuwa na hilo unalosema ila wewe umeliweka na ukaliita ni ugonjwa wa akili.Ndio maana nikaweka mpaka maelezo ya ugonjwa wa schizophrenia Yani ni kudhani umefanya jambo kumbe hujafanya, huyo myahudi alimloga Muhammad kwa kumtupia ugonjwa wa akili
Schizophrenia -is a serious mental disorder in which people interpret reality abnormally. Schizophrenia may result in some combination of hallucinations, delusions, and extremely disordered thinking and behavior that impairs daily functioning, and can be disabling.
Ushauri wangu kijana achana na sisi Waislamu sababu elimu tuko nayo sisi na umakini kadhalika. Utaendelea kuaibika na kuonekana mjinga na kilaza mpaka unakufa.Alilogwa kwa kupewa ugonjwa wa akili wa schizophrenia au wewe huine alikuwa anadhani kafanya jambo na hajafanya
Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063
Unasemaje?Sio tu ni lugha bora, ndio lugha pekee anayoisikia na kuielewa Allah.
Hii pia ni kuhimiza mtu kutokujilimbikia Mali pasi na kuwa na za kuzifanya.Na gharama zote hizo kwa muumini wa kweli wa kiisilamu sio kitu kwani ni Allah ndiye anayetoa na kuruzuku basi mtu akitoa pesa kwa ajillu ya kwenda kutekeleza ibada kwa huyohuyo Mungu kuna kosa??!.
Watu wanachukulia suala la Hijja katika mazingira ya kibiashara na Uchumi na wanasahau hekima na kiini cha Ibada yenyewe. Mbele ya Ibada pesa au mali kwa muumini wa kweli sio kitu.
Mbele ya macho Yako Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo na hakufanya , alilogwa kwa kupewa ugonjwa wa akili unaitwa schizophreniaSafi kabisa hili si ndiyo ulilolizua katika muendelezo wako wa kuzusha uongo. Au hujaelewa hata unachokiandika nacho ni uongo ? Yaani Mtume hakuwa na hilo unalosema ila wewe umeliweka na ukaliita ni ugonjwa wa akili.
Waislamu gani hao unao wazungumzia wewe hawataki kulisikia hili ulilo liandika, bali sisi Waislamu tunakushangaaa wewe kwa namna ulivyo kuwa mjinga.
Hija wetu sisi ni ibada na ni ibada ambayo ipo hata kabla Saudia si yenye kutajika. Ibada ambayo kwenda kwake tunapata malipo toka kwa Allah na kutii amri yake.
Kwahiyo hata wapate mapato zaidi ya hayo, sisi tunaenda kufanya ibada.
Tumejifunza kwasababu walikuja kututawala na hatukuwa na lugha moja, hivyo tukatohoa baadhi ya maneno kama ilivyo kwenye kiingereza, tumetohoa kwa vile tu walitutawala.Angalia post 33,kiarabu hata duniani tumejifunza na kukitumia,Kazini,makanisani,majumbani,mahotelini,kwa mfano neno tamu(ni kiarabu),sahani(kiarabu),sufiria(kiarabu),maakul(kiarabu),rasmi(kiarabu),katiba (kiarabu)Rasimu ya katiba(kiarabu,)Kanisa(Kiarabu,),kitubio(kiarabu),Sadaka(kiarabu),Zaka(kiarabu),Toba(kiarabu),Kitabu(kiarabu),aya(kiarabu),darasa(kiarabu),Kamusi(kiarabu) nk
Kwa hiyo mungu na malaika wa mbingu hiyo hawana uwezo wa kuongea na kusikia kwa Kiingereza?
Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063Onyesha wapi
Hasikii lugha nyingine zaidi ya kiarabu.Unasemaje?
Allah kumbe ana mipaka?
Hata lugha ya kiswahili hajui?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kwanini unaandika uongo na kujitoa ufahamu kwa makusudi. Nakupa kazi onyesha ufanano na useme ni waislamu gani hawataki kusikia hilo ?Umejibu mulemule kama alivoandika yeye.
Kwamba hamtaki kusikia kuwa hija ni biashara
Nawewe umesema mnapenda sana kwenda huko kufanya ibada.
Yaani ni kuwa una muunga mkono.
Kazi yangu nimemaliza. Uwe unanukuu habari kamili tena ule mzizi wa habari hutakiwi kuuacha.Mtume (ﷺ) aliendelea kwa kipindi kama hicho na vile akidhani amelala (alikuwa na uhusiano wa kimapenzi) na wake zake, na kwa kweli hakufanya........ Sahih al-Bukhari 6063
Schizophrenia - kudhani umefanya jambo na kweli hukufanya
Nimekuwekea Hadithi kwa ukamilifu wake, soma acha kupoteza muda na kupotosha ukweli.Mbele ya macho Yako Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo na hakufanya , alilogwa kwa kupewa ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia
The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.
Mpaka anakuja kutuambia mara kapaa na punda , mara kapasua mwezi kumbe alikuwa chizi kwa mwaka mzima
Kisai unachobisha kipo mbele ya macho Yako , Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya au unataka kusema alikuwa anaigiza ? Na kufikiri umefanya kitu na hujakifanya ni ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia na huu ugonjwa muhammad alikuwa nao mwak mzimaNimekuwekea Hadithi kwa ukamilifu wake, soma acha kupoteza muda na kupotosha ukweli.
Ile kazi ya kuweka andiko lenu kisha ulihakiki, naona umeishindwa.
Malizia hadithi kijana, acha kupoteza muda. Na sababu imeelezwa humo.Kisai unachobisha kipo mbele ya macho Yako , Muhammad alikuwa anadhani kafanya jambo kumbe hajafanya au unataka kusema alikuwa anaigiza ? Na kufikiri umefanya kitu na hujakifanya ni ugonjwa wa akili unaitwa schizophrenia na huu ugonjwa muhammad alikuwa nao mwak mzima
The Prophet (ﷺ) continued for such-and-such period imagining that he has slept (had sexual relations) with his wives, and in fact he did not.
Sababu ipo wazi alitupiwa ugonjwa wa ukichaa akawa chizi hilo lipo waziMalizia hadithi kijana, acha kupoteza muda. Na sababu imeelezwa humo.
Tumemaliza Muhammad alikuwa chizi schizophreniaKazi yangu nimemaliza. Uwe unanukuu habari kamili tena ule mzizi wa habari hutakiwi kuuacha.
Dahhh kijana unachekesha wewe eti allah ajifunze kijaruo uyo unayemkashifu ndiye aliyezileta lugha zote izi unazoona wewe za mahana na kama angeamua au akiamua duniani kote wote tuongee lugha moja anaweza lwa utukufu na nguvu alizonazoHivi sifa ya kwanza ya kua muislamu ni kusifia kiarabu ama ni nini?
Naona kama uislamu na ujinga ni kama samaki na maji.
Unasema hakuna kabila wala dini yoyote ambayo haitumii maneno ya kiarabu, unaweza kunionyesha mameno ya kiarabu kwenye lugha ya kichina ama kijapani? Ama unaweza kunipa maneo ya kiarabu kwenye kigiriki?
Unasema lugha ya kiarabu iko kwenye lugha zote Duniani halafu unatolea mfano kiswahili na kingereza, hizo ndio lugha za Dunia?
Wewe taahira hujui kua china ina namba zake mona hadi kumi ama kwa kua umekaririshwa msikitini na wajinga wenzako basi unakuja kuleta huo ujinga hapa.
Cha kukushauri, mwambieni allah ajifunze lugha nyingine, Dunia imebadilika sana abadilike, ajifunze hata kijaluo ama hata kisambaa au kijerumani.