Dini zinavyoharibu watu akili

Sijaona tatizo la dini hapo, maana ni mtizamo tu wa Mtu kama na wewe ulivyosema kua Dini zinaharibu akili. Hivyo inabaki kua mtizamo
 
Ukristo haukuanzia uarabuni, Usikariri.

Yesu hakuishi Uarabuni na wala hakuongea kiarabu. Mitume na manabii(ambao na nyinyi mnadai mnawatambua) kama kina Musa, Daudi, Suleiman etc HAWAKUONGEA KIARABU, Waliongea Kiebrania, Lugha yao ya taifa lao la Israel.

... make your facts straight
 
ahsante kwa usahihisho,Basi hao uliowataja wote want ndani ya Quran na wote walishushiwa neno la Mungu,je walizungumza kiarabu au kiebrania!??au mkiona mtume kwenye,au KUSIKIA mtume mnajua Muhammad peke yake!?

Basi tukubaliane Mungu alishusha mitume katika mataifa mbalimbali na kwa lugha tofauti sio KIARABU TU

Kama hiyo mitume uliyoitaja hawakuwa waarabu Wala hawakuzungumza kiarabu walikuwa wanamuabudu vipi Mungu!?

narudia Tena Mungu wa waislamu ANASIKIA lugha zote [emoji120][emoji120]
 
Sasa huyo Mungu unaemjua wewe sio wa waislam....Mungu wa waislam anasikia kiarabu TU na ukitaka kumuomba inabidi umgeukie umuangalie upande wa Mecca pale kwenye kibla.
kina nabii Issa,Mussa,Ibrahim Hawa NI waarabu na walimuomba Mungu kwa KIARABU...
 
Ni biashara halali au haramu?
 
Na mawe ya kumpiga shetani huwa mnayatoa wapi?
 
Allah ni nani hadi ajifunze kijerumani?
 
Una ushahidi?
keep ya head up brother and think straight...Kama Mungu wa waislamu husikia KIARABU TU kina nabii I ,Mussa , Ibrahim ,Daudi na wengineo ambao hawakuzungumza KIARABU walimuabudu Mungu kwa lugha gani!?

na nikupe faida BABA WA IMANI KWA WAISLAMU NI NABII IBRAHIM,JE ALIZUNGUMZA KIARABU!?

NDIO MAANA NILIKWAMBIA MUNGU WA WAISLAMU ANASIKIA LUGHA ZOTE SIO KIARABU TU,KIKUBWA UFUATE ANAYOTAKA UFUATE NA KUYAACHA ALIYOKATAZA HAYA MENGINE NI BINAADAMU TU NA MASLAHI YAO

MWALIMU WAKO ALIPATA TABU SANA KUKUFUNDISHA[emoji120][emoji120]
 
(ambao nyinyi mnadai mnawatambua)
 

safi sana kama ulilitambua hili mapema
 
Kweli cadinaly.
 
Kwani Mungu wa waislam ndiyo Mungu wa akina Ibrahim??
Mungu wa akina Ibrahim aliitwa Yahweh Elohim sio Allah.
Kuna Ibrahim wawili...Ibrahim wa kwenye Quran ambaye ni muarabu na Ibrahim wa biblia ambae ni muisrael.
Kuna ISSA wa Quran ambae hakufa, na Kuna Yesu wa biblia alieuliwa.

Lakini keep in mind Hawa characters wa kwenye Quran (kina ISSA,Ibrahim,suleman) wameandikwa Miaka zaidi ya 600-2000 baada ya wahusika kufa.
Na wameandikwa na jamii ambayo hata haikuinteract na wahusika.

Kwahyo Quran ikidai wahusika walikuwa ni waarabu....hizo ni baseless claims.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…