Wafuasi wa dini wote hawanaga akili.
Just imagine jitu halifanyi kazi linaamini kwenye miujiza na baraka za ibrahimu wa uongo.
Majitu yanaacha madawa ya kitabibu na kukimbilia tiba za kipuuzi za hao manabii uchwara.
Jitu linamkashifu mwenzake kwa kumuita kafir&mpagani kisa dini iliyokuja kwa meli, kuna wale wapumbavu mpka waliofikia kuwatukuza wanadamu wenzao kwa kuwaita taifa teule, uteule sijui ni upi huo wakuuwa raia wasio na hatia, na kuna mpka wameaminishwa kuna miji mitakatifu huko uarabuni


.
Huo wote ni upumbavu na ukosefu wa akili, washika dini wengi ni vilaza na masikini wa kutupwa, hiyo ndio main target ya waliotunga dini yaan kuhatibu akili na kuwagawanya watu ili watawalike vizuri