Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

Najua unatamani Sana nikujibu kitu,,,,Ila nilishatoa msimamo wangu juu yako kuwa sitajadiliana na wewe,labda ukiacha upuuzi wako.
.... " But after a few days Waraqa died and the Divine Inspiration was also paused for a while and the Prophet (ﷺ) became so sad as we have heard that he intended several times to throw himself from the tops of high mountains... Sahih al-Bukhari 6982
nakupa maswali fikirishi wewe
1. kwa nini waraq alipokufa koran ikasiamama hapo hapo kuandikwa?
2. kwa nini muhammad alivyoona koran haiandikwi akataka kujitoa uhai?
 
Unaambiwa kitabu kimoja Cha dini ya kikristo kilichoandikwa na Mtume Paulo kinasema kwamba wanawake kamwe hawastahili kuongea chochote pindi wawapo kwenye nyumba za ibada,na wakitaka kuuliza swali wakawaulize waume zao manyumbani.Tena hawafai kushikilia nyadhifa za uongozi kanisani.

I stand to be corrected if I seems to have gone astray.
 
Shida kubwa mna maandiko yenu na hamyasomi , nenda kasome hii
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.".............Sahih al-Bukhari 3617
 
Weee unaejiita ETUGRUL BEY makasiliko ya Nini utafikiri hiyo dini wewe ndio uliizaa . Dini ya wathungu hiyo
 

kama hujui Quraan nenda kajifunze usilete aya juujuu Quraan mkristo hawezi kuijua mpaka akae asomeshwe ndio atailewa ina mafumbo mengi ikiwa waislamu bado kila siku wanaisoma quraan nakuelewa wewe mwenye govi utaijuaje?
 
Haya maelezo umepewa tangu madrasa hivyo baki namna hiyo.
 

Tunaomba maelezo kuhusu Nikah Muttah quran inasemaje?
 
Tunaomba maelezo kuhusu Nikah Muttah quran inasemaje?
Naam mkuu....

Je Nikah Muttah ni nini?

Hii ni ndoa ya mkataba wa Muda maalum,ambapo mwanaume na mwanamke wanakubaliana kuwa katika ndoa Kwa kipindi Fulani,mfano labda miezi sita (6) hlf ikitimia na ndoa inakuwa imekwisha na hakuna talaka,na muoaji anatoa mahari kama kawaida.

Baada ya muda wa mkataba kuisha basi mwanamke ataangalia kipindi kimoja cha mzunguko wa hedhi kama ana mimba au laa!

Kama ulivyotaka kujua je Qur'an inasemaje kuhusu Muttah, Aya ifuatayo 4:24 Kwa mujibu wa wanazuoni wengi wanasema inazungumzia Muttah:

"NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima."

Katika Aya hii mistari mitatu ya mwanzo ni muendelezo wa Aya ya 23 ambayo inazungumzia wanawake ambao ni haramu kuwaoa na ikamalizia hapo na wanawake wenye waume zao tayar,nimeamua kulisema hili ili msomaji asipate taabu kuelewa.

Aina ya ndoa hii inasemwa ilitumika mwanzo kabisa kipindi kile Uislamu unaenezwa,lakini baadae ndoa hii ilikuja kuharamishwa na Sheria au ilikuja kufutwa kabisa,,,,lakini kuna mijadala mbali mbali ya wanazuoni juu ya uhalali WA kuwepo Kwa ndoa au laa! Wengine wanasema ndoa hii hazikuwepo kabisa na wengine wanasema ndoa ilikuwepo awali na ikaja kufutwa na Sheria,kwahiyo kuna malumbano ya namna hiyo,,,na wengine wanasema Aya hiyo hapo juu haikuzungumzia kuhusiana na Nikah Al Muttah.

Lakini Kwa vyovyote itakavyokuwa lengo kubwa lilikuwa ni kuzuia Zinaa,kama unavyojua Mwenyezi Mungu hapendi kabisa zinaa,kwahiyo inasemwa ndio maana ndoa hizo zilikuwepo kipindi ambapo waislamu walienda hapa na Kule katika Vita na kutangaza Dini,kwahiyo walioa Kwa Mda Fulani ili kuepuka kufanya zinaa.

Nadhani maelezo hayo Kwa uchache yanatosha kuhusiana na Nikah Al Muttah

Shukrani.
 

Umeongelea miezi 6. Mimi swali langu nikah mutah inawezwa fungwa kwa siku 1 tu masaa machache? Mfano ndoa ikafungwa saa 8 na kuachana saa 10

Je quran inaruhusu ama hairuhusu?
 
Umeongelea miezi 6. Mimi swali langu nikah mutah inawezwa fungwa kwa siku 1 tu masaa machache? Mfano ndoa ikafungwa saa 8 na kuachana saa 10

Je quran inaruhusu ama hairuhusu?
Mkuu,,,kusema miezi sita ni mfano Tu,,,,,jibu langu Nikah Al Muttah ilikuwepo huko zamani na baadae ilikuja kufutwa,,,,kuhusu sijui masaa, sina elimu nalo hilo.

Shukrani.
 
Mkuu,,,kusema miezi sita ni mfano Tu,,,,,jibu langu Nikah Al Muttah ilikuwepo huko zamani na baadae ilikuja kufutwa,,,,kuhusu sijui masaa, sina elimu nalo hilo.

Shukrani.

Aya gani katika quran imefuta hiyo ndoa?

Quran si imeshushwa na mwenyezi Mungu ama kuna baadhi ya mambo katika quran yanaruhusiwa kufutwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…