Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

Uisjali wala haunikwazi mkuu, najisi za mbwa na nguruwe zina madhara kwa afya ya bianadamu ndio mana zimewekewa masharti magumu kuliko za wanyama wengine. Actually madhara hayo yanaweza kuleta kifo kabisa. Yaani maradhi yanayotokana na najisi za wanyama hawa ni hatari kwa afya za wanadamu. kwa hivyo chukua tahadhari hata kwa familia yako itakusaidia
Mbona wachina hawafi na wanaongoza kwa kufuga na kula nguruwe duniani?
 
Mbwa ambao wapo trained wana discipline sana, unaweza uka panda nae kwenye gari ukakaa naye masaa wala asikurambe rambe. Wengine huzibwa kabisa pua zao hasa wale ambao wanatumika kunusa madawa ya kulevya wanaachiwa pua kwenye Field tu.
Kuna National embarrassment ilitokea mbwa kupandan mbele ya wageni rasmi
siwapendi mbwa
 
Back
Top Bottom