Kuna mmoja anafuga nguruwe tukimuambia yeye ni muislamu anasema dini haimletei mboga nyumbani kwake pia anasema yeye anafuga ila HALI NGURUWE yeye anataka pesa 🤣🤣🤣
Kuna uthibitisho wowote kisayansi unaosema mbwa akikulamba hata kama hajakung'ata yale mate yake yanaweza kukudhuru? Kama hamna basi hoja yako haina mashiko. Halikadhalika na kwa nguruwe pia, ukigusana nae unaweza pata madhara yeyote? Au kwa lugha nyepesi, kuna ubusiano gani kati ya sala na bacteria waliopo kwenye mate ya mbwa? Ni kwamba sala zako hazifiki ukisali angali mate ya mbwa yako mwilini mwako?
Pundamilia ni halali kula ila punda wa nyumbani haliwi.wanacho nichekesha kuwa dini yao ni kasoro wapo na uwezo wa kufuga simba,chui na paka ila hawajui wote kuwa ni jamii pamoja na mbwa.
dini ni dalili za ukichaa
Mada inahusu kufuga mbwa Ni halali au haramu.Ninachojua sheria zimewekwa ili zivunjwe.... Niko na rafikiangu kila wakati ni kanzu na barakashia lakini uchumi wake unatokana na ufugaji wa nguruwe
Uislamu unaruhusu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi na hata usaidizi wa kazi kama uwindaji kwa utaratibu maalum wa kuwa na mipaka katika kuishi nae. Suala la kufuga mbwa as a pet uislam hauentertain such practice..Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba?
Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
yaani unashangaa mbwa kuwa shetani ..hata baadhi ya binadamu ni mashetaniSi mmeambiwa kuwa mbwa ni shetani:
Na anaondoa udhu:
.............
Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”
..........
Ujanja ujanaja tu hamna kitu humo:
Ndio mtume huyo:
Swali langu: kuna uhusiano gani kati ya mate hayo ya mbwa na sala? Na kingine kama ni swala la rubela tayari kwa sasa tuna chanjo na huo ugonjwa ushapotea kabisa.
Mbwa anaruhusiwa kufugwa,lkn kwa masharti maalumu ya kidini.Mbwa anaondoa Sunnah, hivyo hairuhusiwi.
Hakika wale wanaoendekeza kufuga wanyama wasio safi Kama mbwa, hawatapata maswahaba waliohidiwa
Engineer vipi, nimekosea?Heeh!
Sasa hio picha kavunja nini kwenye dini? Tatizo la islamophobe wengi mna shobo sana humu jukwaani. Sijui hata waisilamu wamewafanya nini mpaka wanaishi rent free kwenye vichwa vyenu.Waislam wenye pesa wanafuga kama pets, tena wengi tu. Ila hawa wanaosubiri bikra 72 ndo wanaona haram
View attachment 3347396
Shekhe acha matusi! Unasema nguruwe akimgusa mtu ni najisi wakati sisi tunamla?Kufuga mbwa haijakatazwa, ila kuna masharti ya kuzingatia
1. Huyo mbwa awe ni kwa ajili ya ulinzi au kuwinda
2. Awe na banda lake, asikae ndani na watu. Na apewe chakula kwenye vyombo vyake
3. Nguruwe hairuhusiwi kabisa hata kumfuga home
Mate ya mbwa ni najisi kwa maana mbwa akikulamba mguu au mkono wako basi hiyo ni najisi. Ili hiyo najisi iondoke inatakiwa uoshe hiyo sehemu ambayo mbwa amelamba. Na utaosha mara 7 yani utaosha kwa maji na mara moja kwa mchanga. Na hivi hivi pia ukiguswa na nguruwe. Nguruwe ni mwili wake wote ni najisi sio mate tu.
Unaweza kufikiri huu ni wazimu lakini imefahamika cientifically kwamba mate ya mbwa au najisi ya nguruwe yana bacteria ambao hawaondoki wala kufa kwa kuoshwa na maji pekee.
Kuna daktari mzungu kutoka America alienda kufanya kazi Egypt akashangaa kusikia kuwa mbwa akilamba sehemu unatakiwa uoshe mara saba na moja wapo iwe ni mchanga (mchanga plus maji).
Akafanya mwenyewe uchunguzi akachukua chombo kilicholambwa na mbwa akapima akakuta kina bacteria wengi. Na akaosha kwa maji pekee na kisha akaenda kuipima tena maabara akakuta bado kuna bacteria wale wale wapo hawajaondoka na akaosha tena ile container kwa maji na mchanga kama alivyo elekeza Mtume Muhammad SAW kisha akaenda kupima tena akakuta hakuna bacteria aliyebaki katika chombo kile. Huyo Dr alikuja kusilimu. Ngoja nikiipata clip yake nitaiweka hapa
Unakula najisi mkuuShekhe acha matusi! Unasema nguruwe akimgusa mtu ni najisi wakati sisi tunamla?
Waislam wenye pesa wanafuga kama pets, tena wengi tu. Ila hawa wanaosubiri bikra 72 ndo wanaona haram
View attachment 3347396