TJ Victor
Member
- May 16, 2023
- 81
- 101
Ni wiki tu kuna dada ni jirani yangu huku kimara aling'atwa na paka akahangaika hospitali lakini alifariki, ripoti ya daktari ikasema ni sumu za mate na meno ya paka ndo zilizomuua. Nikafanya utafiti kwa kugoogle kisayansi inaonesha ni kweli paka ana sumu kali sanaUisjali wala haunikwazi mkuu, najisi za mbwa na nguruwe zina madhara kwa afya ya bianadamu ndio mana zimewekewa masharti magumu kuliko za wanyama wengine. Actually madhara hayo yanaweza kuleta kifo kabisa. Yaani maradhi yanayotokana na najisi za wanyama hawa ni hatari kwa afya za wanadamu. kwa hivyo chukua tahadhari hata kwa familia yako itakusaidia