Dini vs Ushirikina: Kwanini ningechagua ushirikina

Nimepata revelation nyingi sana juu wa watu waliofanikiwa kiuchumi kwa kutumia ushirikina lakini sijaambiwa kuhusu madhara/ athari zake kwa mhusika
Hata hao viongozi wa dini wanatumia ushirikina kwa sababu hiihii ya ku-secure ugali wao sasa ushirikina unaonekana kuwa effective sana kwenye maswala ya hela. Naombeni hoja zenu wadau
 
Kwa mala ya kwanza nakutana na uzi wako wenye mawazo mgando kabisa.

Washirikina kujificha kwenye kichaka cha dini.
Hakuleti maana kwamba dini ni mbaya na ushirikina ndio mzuri.
Isitoshe kuna uwezekano mkubwa tu wakumjua mshirikina hata akijificha vipi.
 
Waganga wengi san wanatoa utajiri wa kichawi.

Nenda kapewe, unasubr nn 😂😂
 
Safi sana, ebu eleza hio process nzima ikoje then nifanye analysis zangu kabla ya kuchukua uamuzi
Wewe nenda kila mganga ana mbinu zake.

Example :
-Kafala kila mwezi (kutengeneza ajari) na kutoa watoto wako wote pindi wakizaliwa.
  • kuku kudonoa mahindi, atakayo donoa ndo miaka yako ya kuishi na utajr.
  • kutolewa uzazi.
  • hakuna kusex wala kulala kitandani.

Kila kuzimu na masharti yake
 
Duh! Hakuna jema hapo, Kwaheri mkuu 🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
1Yohana 1:9 "Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote."

Je unaishi maisha yenye kuruhusu kupokea baraka? hauwezi zuia sumu kwa kuweka majani kwenye maziwa (kuchanganya Mungu na ushirikina)..... Mungu wetu ni mwema ukiwa unaenenda katika njia sahihi yeye hatakuacha na atakufanikisha.....

Huwezi taka ufanikiwe kwenye biashara wakati unahusisha ushirikina, unafanyia uzinzi kwenye biashara na hela ya biashara inalipia uzinzi....huwezi pokea uponyaji kama hata biblia huwezi soma hata dakika 2 na hata kwenye biblia imeeleza wazi sababu zinazotunyima mafanikio.....
 
Nimepata revelation nyingi sana juu wa watu waliofanikiwa kiuchumi kwa kutumia ushirikina lakini sijaambiwa kuhusu madhara/ athari zake kwa mhusika
Hata hao viongozi wa dini wanatumia ushirikina kwa sababu hiihii ya ku-secure ugali wao sasa ushirikina unaonekana kuwa effective sana kwenye maswala ya hela. Naombeni hoja zenu wadau
Definitely naked truth
 
Kwa mala ya kwanza nakutana na uzi wako wenye mawazo mgando kabisa.

Washirikina kujificha kwenye kichaka cha dini.
Hakuleti maana kwamba dini ni mbaya na ushirikina ndio mzuri.
Isitoshe kuna uwezekano mkubwa tu wakumjua mshirikina hata akijificha vipi.
 
Wewe nenda kila mganga ana mbinu zake.

Example :
-Kafala kila mwezi (kutengeneza ajari) na kutoa watoto wako wote pindi wakizaliwa.
  • kuku kudonoa mahindi, atakayo donoa ndo miaka yako ya kuishi na utajr.
  • kutolewa uzazi.
  • hakuna kusex wala kulala kitandani.

Kila kuzimu na masharti yake
Kutoa watoto wote pindi wanapozaliwa sio kweli kabisa... Hilo ni kafara la juu mno na huja baadae mno
 
Kutoa watoto wote pindi wanapozaliwa sio kweli kabisa... Hilo ni kafara la juu mno na huja baadae mno
Ma agent wa shetani wa jinga sana.

Kuna jamaa yeye alipewa sharti moja tu la kutoa kafala za ajari.

Lakini ilikua ikitokea mistake yoyote ile kafala ikashindikana tarehe husika, adhabu ni ndugu yake awe mbadala.

Na huwa tu kuna mashart yanaibuka pindi ukipata utajiri na ukakukolea, watoto wa michepuko wote wakizaliwa ni kafala tu.
 
1Yohana 1:9 "Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote."

Je unaishi maisha yenye kuruhusu kupokea baraka? hauwezi zuia sumu kwa kuweka majani kwenye maziwa (kuchanganya Mungu na ushirikina)..... Mungu wetu ni mwema ukiwa unaenenda katika njia sahihi yeye hatakuacha na atakufanikisha.....

Huwezi taka ufanikiwe kwenye biashara wakati unahusisha ushirikina, unafanyia uzinzi kwenye biashara na hela ya biashara inalipia uzinzi....huwezi pokea uponyaji kama hata biblia huwezi soma hata dakika 2 na hata kwenye biblia imeeleza wazi sababu zinazotunyima mafanikio.....
Heshima yako mkuu! Je wewe ni mfanyabiashara? Kama ndio ni ipi?
Karibu sana utumegee hio Aya inayozungumzia mafanikio ya kiuchumi kwenye biblia
 
Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu

Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.

Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.

Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.

Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.

Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.

Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali

Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.

Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!

Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Vyote ni sawa kwani ushirikina ni dini na dini ni ushirikina. Vyote vinatumia mizimu, mapicha, hadithi na damu kama kawa.
 
Back
Top Bottom