Dini vs Ushirikina: Kwanini ningechagua ushirikina

Dini vs Ushirikina: Kwanini ningechagua ushirikina

Naaam na humo ndo anakaa Mungu na nguvu zake zinaangaza toka gizani. Ndo maana tunaona mwanga najaribu tu kuwaZa
 
"Waliotuletea dini wametupenyezea mila zao majina yetu yameonekana na kipagani na yao ya kitakatifu hata mtu ukimsilimisha inabidi umpe jina la kiarabu ili awe mwislamu la hasha hata mtume hakuja kuharibu mila zetu ila waliotuletea"

Hata sisi wakristo mtu ukiitwa atusiyile mwakipesi ni jina la kipagani ila ukiitwa john wewe umeokoka

Najua wafia dini watachukia sana hili ila sheikh kaongea point kubwa sana
 
Back
Top Bottom