Dini vs Ushirikina: Kwanini ningechagua ushirikina

Mkuu Mambo mazito....inakuwaj kiongozi awe pande mbili iv confidence anaipata wap ya kusmama madhabahun afu jana alikuwa Gambushi? Na najiuliza KWA nn asiangushwe madhabahuni
 
In terms of mambo mabaya kwa wakati mmoja na yaliyoangamiza watu wengi kwa mara moja uchawi unasubiri mbele ya dini
Tumeshuhudia si mara moja au mbili vita vya kidini vilivyoondoka na roho za malaki wasio na hatia... Je ni wapi umewahi kusikia ushirikina ukiuwa kwa halaiki?
Mkuu natafuta koromeo la fisi? Vipi una connection mahali unisaidie
 
Hapa umechemka Mkuu. Kwani hata walio wapagani wanajua maovu mbali mbali tena ya kutisha kuhusiana na ushirikina.

“Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.”

Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu

Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.

Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.

Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.

Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.

Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.

Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali

Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.

Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!

Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
 
BAK dini inajificha kwenye pazia moja zito sana ... To be more specific viongozi wake ni wachafu kuliko tunavyowaona na aslilmia 90 hawaamini wanachohubiri
 
Hilo uko sawa kabisa Mkuu na ndiyo maana wafuasi wengi wa hizi dini sehemu mbali mbali duniani wanaachana nazo lakini kusema kwamba ushirikina haujafanya maovu ya kutisha duniani bali ni visingizio vya wafuasi/Viongozi wa dini hapo sikubaliani nawe hata chembe.
BAK dini inajificha kwenye pazia moja zito sana ... To be more specific viongozi wake ni wachafu kuliko tunavyowaona na aslilmia 90 hawaamini wanachohubiri
 
In terms of mambo mabaya kwa wakati mmoja na yaliyoangamiza watu wengi kwa mara moja uchawi unasubiri mbele ya dini
Tumeshuhudia si mara moja au mbili vita vya kidini vilivyoondoka na roho za malaki wasio na hatia... Je ni wapi umewahi kusikia ushirikina ukiuwa kwa halaiki?
Zipo natural disasters nyingi tu tumeambiwa ni za kichawi japo ku prove ni ngumu ila kwa jinsi unavyo discuss uchawi inaelekea wewe unaye practice unatuhakikishia upo na una nguvu,vyo vyote vile uchawi hauna afadhali yoyote,ila tumwombe Mungu aje atuondolee hilo dudu na wahusika wake.
 
Hilo uko sawa kabisa Mkuu na ndiyo maana wafuasi wengi wasio hizi dini sehemu mbali mbali duniani wanaachana nazo lakini kusema kwamba ushirikina haujafanya maovu ya kutisha duniani bali ni visingizio vya wafuasi/Viongozi wa dini hapo sikubaliani nawe hata chembe.
noted brother
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu katika vitu ambavyo ningeambiwa nivitaje ili viondolewe duniani ushirikina hakiwezi kukosa.
Zipo natural disasters nyingi tu tumeambiwa ni za kichawi japo ku prove ni ngumu ila kwa jinsi unavyo discuss uchawi inaelekea wewe unaye practice unatuhakikishia upo na una nguvu,vyo vyote vile uchawi hauna afadhali yoyote,ila tumwombe Mungu aje atuondolee hilo dudu na wahusika wake.
 
Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu

Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.

Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.

Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.

Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.

Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.

Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali

Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.

Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!

Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Dini hasa ukristo imeleta madhila mengi katika jamii ya wanadamu. Historia ya ubaguzi na manyanyaso inaonekana bayana ukristo ulichangia.Wajanja wametumia hilo mpaka kesho kuwaminya wenzao kwa kisingizio cha dini. Watu wanapiga hela ya laana kupitia dini ya ukristo. Binadamu ameacha kutumia akili na bidii katika kazi anategemea mafanikio ya kimazingaumbwe. Ogopa Sana kitu kinaitwa dini.Dini ni mpango kamili wa shetani Ila Imani ni mpango wa Mungu.
 
Nadhani sio ukristo pekee bali karibia kila dini
 
"Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika."
 
Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu

Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho mwanadamu chini ya jua hakina ukamilifu wa kimungu kwakuwa mwanadamu mwenyewe si mkamilifu.

Ni katika kutengeneza huo mfumo uitwao dini binadamu anajikuta anajichanganya mwenyewe ama kutofautiana na mwenzake, ama kabila na kabila, imani na imani. Kufikia hapo ndio zikaanza kufumuka dini na imani za kila aina.

Wanaomtaja na kumwamini Mungu wakawa na dini zao nyingi tu lakini ndani yao wakipingana wenyewe kwa wenyewe. Walioona kwa Mungu hakuwatoshi nao wakaanzisha dini zao lakini nao hawakuishia pema, ni mitufuano tu. Kila dini sasa bila kujali ni ya kumtaja Mungu mmoja ama miungu wakawa na mitume na manabii wao. Na kila dini inawaheshimu na kuwatii sana sana.

Ni kupitia michakato hiyo ya kidini kujitangaza na kutaka kukubalika zaidi ndani ya jamii mbalimbali duniania. Dini imejikuta kwenye mtanziko mkubwa wa mambo mabaya kabisa duniani.

Ni kwa kupitia dini hizo mamilioni wamepoteza maisha yao kwa vita ya kidini ama kuuawa kwenye mabishano ya kidini.

Ni kupitia dini hizo watu kwa maelfu wamepotea na kupotezwa na wasionekane tena.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani wamepitia madhila na mateso makubwa sana.

Ni kupitia dini hizo mamilioni ya watu duniani, wameteswa, wamenyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiwango kisichomithilika
Dini badala ya kuwa suluhisho imegeuka kuwa jinamizi litishalo ndani ya jamii mbalimbali

Ushirikina haujawahi kufanya mambo mabaya hivyo kama yaliyofanya kwa kutumia dini, lakini ushirikina unatumiwa vibaya na wanadini kama pitio na kimbilio la kutupia lawama na mabaya yote kuficha madhaifu yao kwenye dini.

Inachekesha mno kiongozi wa dini anaposimama kwenye madhabahu na kuanza kukemea ushirikina kumbe jana yake tu alikuwa huko ama naye ni agent na muumini mwaminifu wa ushikirikina.. Viongozi wa dini zote hizi zinazoamini katika Mungu mmoja ndio kundi linaloongoza kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji na ni waumini wakubwa wa ushirikina!

Kila nikipima haya mawili katika mizania ya haki bado USHIRIKINA una nafuu kubwa katika uhalisia wake kuliko hiki kitu kizuri kiitwacho dini!
Tutafite neno zuri badala ya ushirikina
 
Back
Top Bottom