Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

Na wale wanaoamini wamesamehewa dhambi zao kwa kumwamini Kristo kwamba alikufa katika nafasi yao vipi?
 
Naomba nieleweshe pengine naweza kuwa mwislam kesho.

Pombe ni Haramu kwa Uislam!
Mbinguni tukifika tunapewa tena Pombe kivipi?

Kuoa ni wanawake 4 licha ya Talaka vipi mbinguni unapewa bikra 72 ?

Na mwisho Mungu Haruhusu kuua ,sasa vipi wanao uwa alafu wanaambiwa hawa ni Firidaus kabisa pepo ya juu kabisa?
Kufir-a ni Dhambi ila kwa uslamu kuna Mura inaitwa Suna
Ndio maana hili tendo lipo mikoa wanako ishi ndugu zangu na hata Nchi

Nachanganyikiwa mimi nisaidie
 
Back
Top Bottom