Lazia Sultan
Senior Member
- Jun 4, 2020
- 120
- 329
DuuhSio kila kitabu ni kitabu cha kufanyia reference Mkuu, kwanza muandishi Alice Werner hana mandate ya kuandika alichokiandika kwakua.
Mtoto wa saba baba akizurura huko duniani, ikiwepo Newzeland, USA na hatimaye kuweka makazi yake Tonbridge England.
Alice Werner hakuwa akijua chochote kuhusu Afrika hadi alipotembelea Nyasaland na ndipo alipoanza kusoma kwa Profesa kuhusu Swahili na ubantu.
"You can't be Roman than Roman themselves"
*************
Sipingi waafrika kwamba tulikua na Tamaduni na taratibu zetu lakini Dini haukuwa utamaduni wa jamii fulani.
Umejipanga kupinga kila kitu bila hoja za msingi isipokuwa chuki.
Alice Werner hakuwa na mandate ya kuandika hayo kwa sababu zipi za msingi? Mbona umemwattack tu personally? Tukisema itolewe thread ya kumwattack Muhammad patatosha hapa? Punguza chuki. Twende taratibu.