rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,874
- 9,662
Nlishakuelewa, Ila tunarud pale pale. Kiuhalisia na sio dhambi, Haihitaji tuwe lugha moja ili kufanya sala zetu ziende sawa.Labda hujanielewa ni hivi; lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha kuu 5 za dunia, ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu.
Ni lugha ambamo Qur'an imeshushwa, ili mtu ajue "vizuri" mafundisho ya Qur'an yampasa ajue "Quranic Arabic" mbali na kwamba kuna tafsiri nyingi za Qur'an katika lugha mbalimbali lakini maana halisi zinapatikana kwa kujua lugha yenyewe ya Kiarabu cha Qur'an (kiarabu fasaha).
Waisilamu duniani wanaunganishwa Mtume (saw) chini ya Qur'an na kiarabu ndiyo lugha inayowaunganisha, leo Muisilamu Mtz akienda Russia, Germany, Saudia, pakistan, India au popote duniani hatopata shida katika kuswali ndani ya msikiti wowote kwa njia na dua za swala zote ni katika lugha ya kiarabu.
Katika swala kuna "postures" na kila posture ina dua yake, posture moja ni sujuda hapo kuna dua yake pia lakini MTU HAJAKATAZWA ANAPOKUWA KATIKA SUJUDA BAADA YA KUSOMA DUA INAYOTAKIWA HAPO HUYO MTU NAYE AKAOMBA DUA AU MAOMBI YAKE BINAFSI KATIKA LUGHA YAKE MWENYEWE ANAYOIJUA, kwani Mungu anasikia lugha zote.
Tuonyeshe sasa ili uthibitishe ukweli wa maneno yako.
Nipo .....
Uzuri ayq ziko wazi sana, hazionyeshi unacho kidai wewe, sasa tuambie hizi habari zilizo fichikans umezipata wapi ? Hatulei wajinga na wazushi.Aya nilizoleta hukuziona??!!, au wewe ni kipofu wa roho??!!
Tena mzigo wa watu wajinga pengine tuliubeba wala hatukuwa wajinga kabisa [emoji23]kumbe uislam ulikuja kwa ajili ya WAARABU wa enzi ya ujinga!
uoni sisi tumebeba mzigo si wetu tumekopi tamaduni za watu
sisi tulikua na taratibu zetu kula,kuvaa,salamu,ibada
kwaio mpaka hapa uislam ulikua hautuhusu.
Uzuri ayq ziko wazi sana, hazionyeshi unacho kidai wewe, sasa tuambie hizi habari zilizo fichikans umezipata wapi ? Hatulei wajinga na wazushi.
Sasa kama anahuruma ya kiwango hicho, kwamba chizi anaenda na mwenye nazo alkadhalika.Tena ni mjuzi kama unavyomnasibu;
Kinachomshinda yeye kuileta pepo isiyo na masharti ni kipi..? Au hajui kwamba upunguani ndio chazo cha mabaya mengi..? Kwani kipi hasa anatafuta.?
Ukizingatia kunasehemu kasema mwenyewe kwamba "ukimwabudu haongezeki kitu wala ukimchunia hapungukiwi".! Mjeuri sana huyu
Huna ushahidi kijana naona unarudia rudia tu ukiyo yaanidka nyuma na hujibu swali langu. Hutakiwi kubahatisha bali unatakiwa uwe una uhakika na unacho kiandika.Wewe ndiye mjinga wa Qur'an, eti wazee wetu wa zamani kipindi wenzao wa mashariki ya kati wamepewa miongozo kupitia mitume wao wazee wetu wa Afrika nk, Allah hakuwapa miongozo yoyote!!!, eti, waliishi kama wanyama wasiostahili miongozo!!!, eti mitume wote 123,975 walikuwa ni mitume wa watu wa mashariki ya kati tu!!!🤣--- ni akili ya mwendawazimu ndiyo ita entertain such stupor.
Mtume (saw) mwenyewe kasema (duniani) walitokea mitume 124,000-- hata hadithi inakushinda kuielewa???
Qur'an ni kitabu cha watu wenye akili (wanaitumia akili) sio kasuku wanaoghani na kuiimba tu bila kujua maana za aya zake.
Huna ushahidi kijana naona unarudia rudia tu ukiyo yaanidka nyuma na hujibu swali langu. Hutakiwi kubahatisha bali unatakiwa uwe una uhakika na unacho kiandika.
Ukipata ushahidi nistue, nije kusoma.
Ahsante.
Ukiwa na ushahidi nistue nije kusoma ulicho kiandika na kama cha uongo mwendi ni ule ule.Wewe huna macho ya akili, Mtukufu mtume (saw) amesema mitume waliikuja kabla yake ni 124,000. Akili yako haikutoshi kujua kwamba hawa ni mitume waliokuja kwa dunia nzima???
Allah katika sehemu kadhaa ndani ya Qur'an anasema; katika kila umma alituma mtume.
Huku kwetu Africa na sehemu zingine za dunia kulikuwepo na watu mbalimbali katika mahaki mbalimbali (nyimati), kwa msingi huo, kwa mujibu wa Qur'an ni lazima mitume walitumwa kwa ajili yao.
Hatujui habari zao kwasababu Allah hakuona umuhimu kumsimulia Mtukufu mtume (saw), almuhimu Mitume Walikwepo na huku kwetu, wazee wetu nao walikuwa watu kama wazee wa Mashariki ya kati hivyo walihitaji Muongozo wa kiroho, wazee wetu hawakuwa hayawani, hawakuwa na laana kiasi kwamba Allah asiwape neema ya Mitume.
Haiingii akilini kwamba kwama toka Nabii Adam (as) hadi Muhammad (saw), mitume 124,000 watokee Mashariki ya kati tu, walikuja kucheza mpira au zilikuwa ni timu za Basket ball!!!??, Wakati mtume kasema wametokea duniani kote wewe umasema hapana wametokea mashariki ya kati tu!!!-- wewe ni "Mmmanga" na unajivunia umanga wako ukijiona kwamba nyinyi ndio mlistahiki kuletewa mitume peke yenu huko Mashariki ya kati na wengine hawakustahili.
kaka acha kunywa Alkasusu, upende kula Samaki sana uongeze omega 3 في ريسك.
Ukiwa na ushahidi nistue nije kusoma ulicho kiandika na kama cha uongo mwendi ni ule ule.
Nimekuelewa mkuu ila swala langu bado nadhani hujanijibu.Kiufupi naamini Mungu yupo, na amejidhihirisha wazi kabisa. Kila jamii dunia mzima nguvu ya Mungu ipo. Kuna dini kubwa sita duniani. Kote Mungu anajionesha. Kuna
~Judaism
~Christianity
~Islam
~Hinduism
~Budhism
~Sikhism
Mtawa(monk) wa kibudha anaweza fanya maajabu makubwa sana ya kutembea juu ya maji au kutembea bila kukanyaga ardhi(kupaa) Kama Yesu. Lakini si mkristu Wala mwislam.
Hao mitume ya kiafrica walipewa kitabu gani?Ushahidi gani zaidi unaotaka???, wewe unashindwa kujiuliza mitume wote 124,000 huko mashariki ya kati Allah aliwatuma kila mmoja kwa familia yake???!!---- hao walikuja kwa ajili ya dunia yote.
Hebu tuliza akili yako kama msomi wa dini na tafakari hili jambo;
Siku ya kiyama kila umma utasimama na mtume wake kama shahidi, Wazee wa mashariki ya kati watasimama na mitume wao kama mashahidi, Wazee wetu wa Kiafrika na wengine watasimama na nani kama mashahidi wao katika siku hiyo ya kiyama kama wao hawakujiwa na mitume katika zama ambazo wenzao wa mashariki ya kati wakifikiwa na mitume ???.
Huoni kwamba watakuwa na nafasi ya kumlalamikia Allah kwa kutowaingiza peponi kwasababu peponi huingia watenda nema na wao hawawezi kujua mema na mabaya bila kupata mitume wa kuwajulisha mema na mabaya.
Wakati huo Wazee wenzao wa mashariki ya kati wakihukumiwa Wazee wetu wa kiafrika wamejikunyata hawajui hili wala lile wakisubiri neema ya Allah ya kuwaingiza peponi bila kuitumikia, Wazee wa mashariki ya kati nao watamlalamikia Allah kwanini awaingize watu peponi bila juhudi waliyofanya!!!--- Allah hawezi kuwaingiza motoni wazee wa kiafrika kwani hawatakuwa na makosa kwakuwa hawakufikiwa na mitume.
Sasa nani alaumiwe katika mgogoro kama huo??-- lawama zitabidi ziende kwa Allah (Allah apishe mbali yeye ni subhana), kamwe Allah hawezi kuleta mazingira yanayokinzana kwa namna hiyo, ni wazi kabisa mitume takriban 124,000--25=123,975 walikuwa kwa ajili ya sehemu zingine za dunia, kazi yao kubwa ilikuwa ni kutangaza;
لا اله الا الله
Mkuu mokaze nimekuelewa.Ushahidi gani zaidi unaotaka???, wewe unashindwa kujiuliza mitume wote 124,000 huko mashariki ya kati Allah aliwatuma kila mmoja kwa familia yake???!!---- hao walikuja kwa ajili ya dunia yote.
Hebu tuliza akili yako kama msomi wa dini na tafakari hili jambo;
Siku ya kiyama kila umma utasimama na mtume wake kama shahidi, Wazee wa mashariki ya kati watasimama na mitume wao kama mashahidi, Wazee wetu wa Kiafrika na wengine watasimama na nani kama mashahidi wao katika siku hiyo ya kiyama kama wao hawakujiwa na mitume katika zama ambazo wenzao wa mashariki ya kati wakifikiwa na mitume ???.
Huoni kwamba watakuwa na nafasi ya kumlalamikia Allah kwa kutowaingiza peponi kwasababu peponi huingia watenda nema na wao hawawezi kujua mema na mabaya bila kupata mitume wa kuwajulisha mema na mabaya.
Wakati huo Wazee wenzao wa mashariki ya kati wakihukumiwa Wazee wetu wa kiafrika wamejikunyata hawajui hili wala lile wakisubiri neema ya Allah ya kuwaingiza peponi bila kuitumikia, Wazee wa mashariki ya kati nao watamlalamikia Allah kwanini awaingize watu peponi bila juhudi waliyofanya!!!--- Allah hawezi kuwaingiza motoni wazee wa kiafrika kwani hawatakuwa na makosa kwakuwa hawakufikiwa na mitume.
Sasa nani alaumiwe katika mgogoro kama huo??-- lawama zitabidi ziende kwa Allah (Allah apishe mbali yeye ni subhana), kamwe Allah hawezi kuleta mazingira yanayokinzana kwa namna hiyo, ni wazi kabisa mitume takriban 124,000--25=123,975 walikuwa kwa ajili ya sehemu zingine za dunia, kazi yao kubwa ilikuwa ni kutangaza;
لا اله الا الله
mkuu zurri wewe unatambua fika kuwa katika kujenga hoja unatumia dalili.Hujaweka ushahidi wa hao mitume ambao walikuwepo Afrika na zile nchi ulizo zitaja. Usijitoe ufahamu kijana na kupoteza muda.
Hao mitume wasiokuwa wa kiafrika umejuaje kuwa walipewa vitabu mbali na kutumia hivyo vitabu vyenyewe kujua hayo ?Hao mitume ya kiafrica walipewa kitabu gani?
kama Allah ametuma mtume katika kila umma.kwa hakika tumetuma katika kila umma Mtume,ili awaamrishe watu wamuabudu Allah na wajiepushe na
Kabla sijajibu tafadhali naomba kujua kuwa MBALI NA VITABU au Qurani umejuaje kuwa Muhammad alitumwa kwa waarabu pasi na kutumia vitabu ama kitabu ?kama Allah ametuma mtume katika kila umma.
je mtume wetu ni yupi?
na kwanini tumtumie mtume muddy kama mtume wetu?
kumbuka mtume mudy alitumwa katika umma wa arabu