Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

heh! ndo huyu aliachwa na mimba y one night stand?
hahahaha, nicheke mie!
Da Sophy ungetuacha kwanza ukamhudumia mume wa mwenzio chap chap kabla hajaenda kwa mkewe na wanawe. wenzio hatuna wasiwasi hata saa nane usiku tunauamkia tunaupasha bibi weeh. na alfajiri tunauraukia hahahahha.

kumbukumbu zangu zinaonyesha ndo huyu....sasa mwanaume anamtumia kama choo cha stendi...akibanwa analipa anakojoa na kusepa....... yeye anaona sifa
 
Last edited by a moderator:
yarrabi tobah! afu anajisifia kuwa yeye choo cha stendi kila mwenye haja anamhudumia? kweli ngumbaru ni ngumbaru tu hahahaha
kumbukumbu zangu zinaonyesha ndo huyu....sasa mwanaume anamtumia kama choo cha stendi...akibanwa analipa anakojoa na kusepa....... yeye anaona sifa
 
aahhahahahahhahahha yani rivals wako ni watoto wa shule!
hawa hawa wa kawambwa!
aahhahahahhhhhhhhhhhhhhh uuuuwih Da Sophy kiiipi ulichonacho!kiipi hujijui tu!
kuna et el mwenzangu hv kakuuliza
mume huna..................sura huna..........................degree huna..............
sasa una niini!
papuchi tuuuu!/ahahahahhahahhahaha hata paka wangu jerry anayo,
yani huna ONGEZEKO LA THAMANI hata kidogo ,looooh!aahhahahha ndo mana nimekwambia we maji ya deki tu stara yake uwani lol!
 
Last edited by a moderator:
heri nusu shari kuliko shari kamili
bwana mwenyewe ndio huyo wanashare, afu wanakuja kuvuana nguo hapa, kipi bora?

Wakati huo huo wote wana watoto, hao watoto si ni ndugu?

Au mie sielewi?

Kongosho unalaghai wenzio...wanaume chomvya chomvya unafikiri akiwaoa wote atatulia?????? Ataenda kuchukua kifaa kipya sophy lazima ajirestishe....
 
Last edited by a moderator:
huyu dada jambazi kwanini haji kujibu km kweli ye ni mwanamke wa shoka.
 
si bora waongee huko kwao kuliko kuja kuanikwa hapa??

Imagine mmeo kakukimbia, kaenda kwa kimada, afu ananangwa ana kibamia??

Ujue ni mateso sana kwa mke wake? Hata kama wameachana miaka alfu moja, mmeo wa ndoa akiadhirika au kuadhirishwa unaumia mno.

Nyie mnasema tu, huyo dada ana upeo kabisa na mme wao ana upeo kabisa, wanaweza wakamwambukiza Sophy upeo wakiamua.

Ili iwe joint effort ya wote watatu.

Huwezi jua background ya Sophy, kwa jinsi alivyo defensive inaweza kukupa picha, nje ya mme huyu maisha yatakuwaje?

yaani ukae uongee sense gani na huyu ngumbaru. are you serious? hana akili hata moja, utaongea nae nini aelewe sasa. hapo alipo hajajua anaenda ama anarudi? mtaongea ya kushoto, kulia, juu ama chini? mwanamke kama huyu nikimkuta na Paw wangi nitaishia kumuonea huruma tu mume wangu kwa kubakwa kwenye chaka la miiba aisee.
 
sasa si kiranga kakitafuta mwenyewe? Toka lini makaha*a wakawa na heshima??????? Badala ya kutulia na mkewe kaenda kuvaa mwanamke wa kiswahili unategemea nini?

Saa nyingine wanaume inabidi wajifunze the hard way ndo atajua kufunga zipu ya suruali yake....



si bora waongee huko kwao kuliko kuja kuanikwa hapa??

Imagine mmeo kakukimbia, kaenda kwa kimada, afu ananangwa ana kibamia??
 
heri nusu shari kuliko shari kamili
bwana mwenyewe ndio huyo wanashare, afu wanakuja kuvuana nguo hapa, kipi bora?

Wakati huo huo wote wana watoto, hao watoto si ni ndugu?

Au mie sielewi?
Kongosho ukiskia aibu hii ni aibu sana.
yaani huyu dada kamvua hawara wake nguo hadharani namuone asana huruma huyu mama mwenye mume.
 
Last edited by a moderator:
Pambaf mie ndo mana wakati mwingine nashindwa kuwaonea huruma hawa waume, embu ona anavyomnyanyasa mkewe kisaikolojia,ptuuuuu, mke wa huyu jamaa jitambue,usikubali kunyanyaswa kiasi hiki
 
Huyu kapuku anatutia aibu wezi wa waume za watu, iba kimya fanya yako, huku na ww unatafuta wako uje kuibiwa na wengine, ndo maisha mujini, sio kujitia ngebe umkalie juu hadi mwenye mume, yule keshakuwa mke hakuna la kubadilisha, whether uzae hata mapacha mara tatu, mssssssiiiiyyyywwuuu
 
Ndo maana wanawake tunaonewa kila siku, kwani si mnatunzana mkioana, au mume tu anatakiwa kutunzwa, na degree inahusikaje hapo,sina mume lakini naona mwizi mwenzangu hapa umevuka mipaka, hujui ukila kimyakimya ndio unafaidi, ama kweli kuiba mume wa mtu inatakiwa uwe na digrii ili uweze kujua na kujitambua unafanya nn
 
kuna mwenye SWAAALI!
NAULIZA KUNA MTU ANA SWAAALI! Asprin umeridhika na majibu ya Shantel au unantaka nianze!
leo mwalimu wako niliweka degreee na manyota yake pembeni
nkajitia kibwebwe,wanja wa kungu u wapi!
shurti fusho la kimombasa nikamweka mkole huyo sijui Da Sophy sijui kaendesha cha wapi! ala
Mwalimu naomba nitungie shairi la mipasho. Kuna kibwengo kinataka nikigegede kinadai eti mama Matesha wangu nlomtolea burungutu la mahari kishazeeka. Shutuuuu, yazeeka sura bana, kikojoleo manati LOL
 
Back
Top Bottom