Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

sasa kama unamsilikilza ilikuwaje akakuchiti???????????

eti habanduki wakati keshabanduliwa na vimwana huko nje

hakuna kitu hapo huyo anasoma ramani ya ku-exit

na siku akitoka kwenye hilo shimo hawezi rudi

Vimwana gani kaja kwako? Sa mi ndo namjua haendi kokote nawahakikishia. Sababu naijua mie. Ataondoka siku nikitaka, na hili pia analijua. Wameshindwa wachungaji wa kilokole mtaweza nyie walevi. Mapenzi kitu ingine acheni nyie. Yule kule kakesha muda gani kwenye maombi kamulizeni. Kwa Kakobe na Lusekelo kote kaenda hela zimeliwa zilizobaki ananywea wine.
 
Huyu bwana anasemaga mwenyewe kuwa ye ni mnyonge sana kwangu akiniona anasizi. Kanitamkia mara kibao. Na si maneno tu naona matendo. We unafikiri kisa cha kujaribu ulevi nilipomtishia kumwacha ni kipi. Na kwa taarifa yenu akiwa na mimi haonji pombe hata. Pombe alikuwa anakunywa alipokuwa na yule mlevi wa kule. Hamuoni nimemsaidia.
 
Shwain vipi za asubuhi.chachachacha alivyolewa juzijuzi na ukaja kusema anashinda bar si yuko kwako?wewe jiliwaze tu jamaa ana vijibibi vingine huko,jiulize MKO WANGAPI?utaisoma nguruwe kwa kijerumani
 
Mnaisoma nyie hapo. Vipi huko kwenye digirii kumbe hamfundishwi ya kikubwa? Mbona huruma.
 
yaani ukae uongee sense gani na huyu ngumbaru. are you serious? hana akili hata moja, utaongea nae nini aelewe sasa. hapo alipo hajajua anaenda ama anarudi? mtaongea ya kushoto, kulia, juu ama chini? mwanamke kama huyu nikimkuta na Paw wangi nitaishia kumuonea huruma tu mume wangu kwa kubakwa kwenye chaka la miiba aisee.

Paw yupi, yule anayetembeza ban?
 
Huyu bwana anasemaga mwenyewe kuwa ye ni mnyonge sana kwangu akiniona anasizi. Kanitamkia mara kibao. Na si maneno tu naona matendo. We unafikiri kisa cha kujaribu ulevi nilipomtishia kumwacha ni kipi. Na kwa taarifa yenu akiwa na mimi haonji pombe hata. Pombe alikuwa anakunywa alipokuwa na yule mlevi wa kule. Hamuoni nimemsaidia.

umebalehe lini? Mbona hayo ni maneno ya kawaida tu mwanaume akitaka pa kumwaga kojo lake?
 
nimeitika kwa heshima yako mkuu!
uliza wanaonijua wakwwambie nikoje akiniona huyu kifuku mkojo atajuta kuzaliwa!

Kuna umuhimu wa JF wakaboresha hili jukwaa. Kuwe na private area member anasevu information zake ikiwemo picha, na akitaka kwa hiari yake aruhusu member mwingine ku-access.

Does this sound creative?
 
King'asti, haya majigambo kama ya Mrs Rutherford?

Style ya uandishi wa sred je? au nazeeka tu vibaya?

Huyu bwana anasemaga mwenyewe kuwa ye ni mnyonge sana kwangu akiniona anasizi. Kanitamkia mara kibao. Na si maneno tu naona matendo. We unafikiri kisa cha kujaribu ulevi nilipomtishia kumwacha ni kipi. Na kwa taarifa yenu akiwa na mimi haonji pombe hata. Pombe alikuwa anakunywa alipokuwa na yule mlevi wa kule. Hamuoni nimemsaidia.
 
Last edited by a moderator:
Vere creative, kama fb

Yaani nilivyo bonge la hendisamu mabinti watanililiaje? Hadi nawahurumia

Kuna umuhimu wa JF wakaboresha hili jukwaa. Kuwe na private area member anasevu information zake ikiwemo picha, na akitaka kwa hiari yake aruhusu member mwingine ku-access.

Does this sound creative?
 
nimeitika kwa heshima yako mkuu!
uliza wanaonijua wakwwambie nikoje akiniona huyu kifuku mkojo atajuta kuzaliwa!

wewe kwanza toa hii avator rudisha ile ya kitanda chako sawa??

pia hivi unaweza kweli kulinganishwa na huyu kfuko kazi yake kulala shimoni??
si haba huyu hadhi yake ndala, mie kwangu haingii hata nigawe mara 50000.

wa moja huyu hadhi yake kaniki
 
Vere creative, kama fb

Yaani nilivyo bonge la hendisamu mabinti watanililiaje? Hadi nawahurumia
Ngashtuka. Itabidi picha zikawe certified mahakani kwanza kabla ya kuruhusiwa kuwa uploaded
 
He he he, mie hendisamu, sihitaji kuwa na certificate ya mahata kwenye picha yangu

Siku hizi mabiutifulu mnaajiita handisamu. Sasa sijui mahandisamu tujiiteje? Kyuti?
 
hivi mi nashangaa jinsi wake za watu wanavyocharuka kwenye hii mada! mbona wake za watu kibao mnatembea na waume wa watu.

na we da sophy, kwani ukila kimya kimya kuna shida gani?

IN SHORT, KUTEMBEA NA MUME WA MTU WALA SIO ISHU SIKU HIZI TENA WAKE ZA WATU NDO WANAONGOZA KUIBA WAUME WA WENZIO, SASA MNAKUJA JUU NINI NYIE WANAFIKI TU!

DA SOPHY, JILIE MWAYA, ILA KIMYA KIMYA NDO MPANGO MZIMA SHOSTI. Kelele za nini?
 
aanze yeye kwanza mwizi wa waume za watu, angekuwa mzuri si angeolewa bwana???

kwani kuolewa ndo uzuri. acha ujinga wew. mi nina mashost wangu kibao ambao wameniaidi kila idara(nawakubali) tena wana adabu sana tu na bado wako single and desperate. KUOLEWA HAS NOTHING TO DO WITH PHYSICAL BEAUTY BIDADA, GROW UP
 
Vimwana gani kaja kwako? Sa mi ndo namjua haendi kokote nawahakikishia. Sababu naijua mie. Ataondoka siku nikitaka, na hili pia analijua. Wameshindwa wachungaji wa kilokole mtaweza nyie walevi. Mapenzi kitu ingine acheni nyie. Yule kule kakesha muda gani kwenye maombi kamulizeni. Kwa Kakobe na Lusekelo kote kaenda hela zimeliwa zilizobaki ananywea wine.

WE NAWE MUONGO TU! WE MWANAUME AKIKUPENDA WALA HUWEZI KUA NA HASIRA KAMA ULIZONAZO MPAKA UNAPIGA KELELE hapa!
 
wanawake wengi wasomi wasumbufu sana maana elimu yao wanaitumie vibaya na ndio maana wengi wao hawaolewi na hata akiolewa ndoa yao haiwezi kudumu kweli kabisa digree haitunzi mume
 
Back
Top Bottom