Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

We una mume? Huyo unayemwita mumeo mwenyewe akuita nungaembe kwa taarifa yako. Tena wazi mchana kweupe mbele ya hawara zake watoto wa shule. Mtaani wanamwita bodi ya shule na unajua. Kila binti wa sekondari aliyempa lifti kamlala na simu kamnunulia. Tayari ushasahau yule housegerl wako uliyemtimua ukakuta badae mumeo kampangishia mtaa wa pili. Bado waja hapa kutamba una mume kumbe mwenyewe akuita nungaembe. Ndo ujue sasa navokujua. Na ukileta fyoko zaidi namwaga yote. mwanga we.

weweweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

tena koma ukomage shetani wa mguu mmoja weeeeeeeeee

mie nina mume mwenzio na mahari nimetolewa, tena mume mwenyewe katulia tuliiiiiiiiiiiii

unijulie wapi shetani wewe, una hadhi ya kunijua kwanza??????????

na hicho ki la saba chacko utanijua mie?????????khaaaaaaaaa

usinichefue chefue bure...........mi sijulikani na vi la saba kama wewe

hapa fullllllll madigriiiiiiiiiiii ,

kwenda zako mwizi wewe, huna lolote kazi kubwabwaja tu hapa

ya nyumbani kwako unatuletea sie kwenye mitandao, tunakupaka za uso hadi utulie mmmmxxxxzzzzz ww
 
mnajuana kumbe??

amjue nani huyu malaya tu

kwanza ana hadhi ya kunijua??????

atanijulia wapi la saba kumbafu kama huyu

hapa fulllll madigriiiiiiiiiiii..........na tunamsuta kidigriiiiiiiiii zaidi

kujuana na laaaaaaaaana kama huyu ni mkosi mwanzo mwisho

anahangaika na dunia tu

atajuta na kimbelembele chake kujianika jf
 
Ya kibamia umesema wewe kama ndo unachotaka inakuhusu mwenyewe.
Baa alienda kupunguza mawazo nilipomtishia kumwacha. Nimemswameh karudi na sasa ni zaidi ya mwanzo. We inakuuma nini na digirii unazo, pesa unazo na wine zipo madukani. Kila mtu ale kitu roho yake inapenda. Baba J kapenda huku mwacheni nyie kunyweni wine zenu. Halafu baba J kwanini huwajibu hawa vigagula?

we baba j hebu tujibu basi jamani

lkn unafikiri baba j ni kilaza km ww, aanze tu kujianika huku jf

hapo anajutia tu nafsi yake kukutana na shetani kama wewe

siku sio nyingi baba j wa watu atarudi kwa wife, akapunguze mastressssssss uliyoletea
 
Sasa je. Yani namjua ndani nje. Bora ajinyamazie nimstiri.

we unijue mimi weweeeeee

una hadi kwanza????????? ukitaka kunijua mimi sharti uwe na madigriiiiiiii

hebu kasome kwanza labda utapunguza huu ujinga ulionao
 
Baba J unaitwa huku, njoo basi.

Seriously, kwa nini msikutane mahali mkaongea?
Haijalishi mnachukiana kiasi gani, lakini watoto wenu ni ndugu au haina umuhimu kwenu?

akutane na nani ---- huyu

mi wala simjui nimemjulia huku huku jf ila nimemvalia njuga ile mbaya.........

mimi ni mwanamke na nina ndoa yangu inaniuma kuona ndoa ya mwenzetu inaharibiwa na ngumbaru km huyu

lkn wala simjui hanijui.........anabwabwaja tu.......
wala hayanihusu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
isipokuwa kwa sbb kajileta mwenyewe jf, nampasha kisawasawa
 
msitiri aisee, mume mtamu, si unajua hilo?
Kaeni mzungumze, au muolewe wote wawili kwa faida ya watoto wenu na amani ya mume wenu.

eti msitiriiiiiiii khaaaaaaaaaaa na we unaamini kuwa tunajuana?\????????

akuuuuuuuu mie simjui huyu dada zaidi ya hapa jf.......heeeeeee mie nina ndoa yangu imetulia na mume wangu yupo nje ya nchi kimasomo, sasa huyu ngumbaru nikutane nae wapi?????????

hebu mwache amwage hizo siri zake tuone anamtaget nani........labda itakuwa kuna mtu anamhisi akafikiri ndio mie

mie nimemjulia hapa hapa tu, na nimempasha mwanzo mwisho nguruwe pori huyu
 
aahhahahahahhahahha yani rivals wako ni watoto wa shule!
hawa hawa wa kawambwa!
aahhahahahhhhhhhhhhhhhhh uuuuwih Da Sophy kiiipi ulichonacho!kiipi hujijui tu!
kuna et el mwenzangu hv kakuuliza
mume huna..................sura huna..........................degree huna..............
sasa una niini!
papuchi tuuuu!/ahahahahhahahhahaha hata paka wangu jerry anayo,
yani huna ONGEZEKO LA THAMANI hata kidogo ,looooh!aahhahahha ndo mana nimekwambia we maji ya deki tu stara yake uwani lol!

Muelezeeeeeeeeeeeeee muelezeeeeeeeeeee

hapo kwenye ongezeko la thamani umenichekeshajeeeee
 
heri nusu shari kuliko shari kamili
bwana mwenyewe ndio huyo wanashare, afu wanakuja kuvuana nguo hapa, kipi bora?

Wakati huo huo wote wana watoto, hao watoto si ni ndugu?

Au mie sielewi?

avuane nguo na nani huyu, kajivua mwenyewe

hakuna anayemjua hapa si tunamnanga tuuuuuuu

yani mie ni mchangiaji tu kama wachangiaji wengine simjui hanijui malaya huyu

ameniboa tu kuja kujigamba hapa na mume wa mtu.......khaaaaaaaa

nani ashee na ngumbaru huyu..........ana hadhi kwanza?

imeandikwa hivi...ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Kongosho naanza kuamini hv vijembe humu kuna watu wanajuana. Da Sophy anajua kuwa thread aliyoweka ya neno moja tu ujumbe umefika kwa mhusika,na huyo mhusika anaijua I'd ya Da Sophy. KAZI YA JICHO NI KUJICHO..
 
Last edited by a moderator:
akutane na nani ---- huyu

mi wala simjui nimemjulia huku huku jf ila nimemvalia njuga ile mbaya.........

mimi ni mwanamke na nina ndoa yangu inaniuma kuona ndoa ya mwenzetu inaharibiwa na ngumbaru km huyu

lkn wala simjui hanijui.........anabwabwaja tu.......
wala hayanihusu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
isipokuwa kwa sbb kajileta mwenyewe jf, nampasha kisawasawa

khaaa! kujuana na huyu malaya ni sawa na kujitia mkosi tu...baelezee mamaa, sie huyu tunamnanga kwsbb kajidai mjanja kuchukua mme wa mtu na kuja kujianika hapa jukwaani thats why tumelivalia njuga haswaaa kwasbb twajua machungu ya kuchukuliwa mme.
 
na atakomajeeeee??????????
 
amjue nani huyu malaya tu

kwanza ana hadhi ya kunijua??????

atanijulia wapi la saba kumbafu kama huyu

hapa fulllll madigriiiiiiiiiiii..........na tunamsuta kidigriiiiiiiiii zaidi

kujuana na laaaaaaaaana kama huyu ni mkosi mwanzo mwisho

anahangaika na dunia tu

atajuta na kimbelembele chake kujianika jf

umenifurahisha sana.......na kwa sbb ya digrii zetu ndo maana ht hatutumii nguvu nyingi kupambana nae.....halooo,kuwa na digrii raha sana jamani asikwambie mtu.
yaan kwa kutumia kalamu tu unaingiza salio, sio km huyu malaya hadi agawe k kwa mme wa mtu ndo ajue na kuhongwa..............hebu ngoja nijiandikie zangu trip mie nibambe mshiko kiulaini km nakunywa maji vile.
 
hapa fullll madigriiiiiii

chezeya madigriiiiiiiiiii weye

kamata pesa kwa kalamu tu
 
Mi namskiza mwanaume wangu kama hamuwaskizi wa kwenu ndo inavokula kwenu ivooo. Kanambiaje, hawa saizi yako shughulika nao mi siwajibu lolote. Ndo maana niko na nyie hadi mtulize hivo vijikalio vyenu. Kasema hapa habanduki nyie mlie tu.
 
sasa kama unamsilikilza ilikuwaje akakuchiti???????????

eti habanduki wakati keshabanduliwa na vimwana huko nje

hakuna kitu hapo huyo anasoma ramani ya ku-exit

na siku akitoka kwenye hilo shimo hawezi rudi
 
heheeeeeeee lithread linakimbia si mchezo da Sophy anaeza huu mpambano au vimeumana!!!!
 
Back
Top Bottom