Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

nimeimba shairi kwa sauti ya malenga wetu wa rtd. asante mwaaaalim!
hana hadhi ya nyumba kubwa, mdomo asiufungue,
hafai hata kwa kurumanga, kutoweza atia kinyaa,
hana sura wala umbo, kimo na elimu pia
aondoe shombo la pombo jamvini, akae ajifunze kujiswafi.

naondoka kufanya kazi nitarudi magharibi
ila huyu pimbi msuteni, makavu aambiwe,
msimwonee haya, manake hasitiriki
kazoea kuvaa moja, mbili kamwe haziwezi.

tamati nahitimisha, mkoloni kanibana
walakini kahaba huyu, kamwe asivumiliwe.
mtupieni vyake virago, aianze safari ya upweke.
maji haya ni mazito Da Sophy, huyawezi.
 
Last edited by a moderator:
hahaha, soma shosti. mume atahamia kwa kahaba kama Da Sophy na sarakadi zote ila digirii haitokuacha kamwe. mwenzioa nasoma post-doctoral digirii nna mchezo? nna masters ya chumbani, digirii ilikuwa ya jikoni na phd ofisi. nasomea digirii ya kuvhukua waume za watu saa hizi. maliza risechi hapo tuje kutesa na vingereza vyetu, zombi mwenyewe atabloo.
Ujue Da Sophy kanichoma live?

Namalizia karisechi kangu niupdate ngumbaru afu yeye anaponda digrii, sijui nichanechane ili nipate wa kumchuna?
 
Last edited by a moderator:
hahaha, soma shosti. mume atahamia kwa kahaba kama Da Sophy na sarakadi zote ila digirii haitokuacha kamwe. mwenzioa nasoma post-doctoral digirii nna mchezo? nna masters ya chumbani, digirii ilikuwa ya jikoni na phd ofisi. nasomea digirii ya kuvhukua waume za watu saa hizi. maliza risechi hapo tuje kutesa na vingereza vyetu, zombi mwenyewe atabloo.
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?

watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:
 
Eliza wa Tegeta, sijakusikia siku nyingi sana. Tumsubiri Marytina naye aibuke.
Ama kweli; penye mzoga ndipo wakusanyikapo Tai.
 
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
 
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?

watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:

Wape waapeee vidonge vyaooooo.....
Asante bishost
 
na wewe tafuta kazi uingize kipato chako mwenyewe!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
Huna jipya wewe jamaa anakucheat ndo maana juzi umekuja unalialia hapa,tena ukamvua nguo na kumwambia ana KIBAMIA.nA BADO UTAISOMA MWAKA HUU
 
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.

Mfupa ulomshinda fisi we mbwa utauweza wapi???????????

Mwenyewe kakushinda mpaka kuja kuyaanika hapa ina maana hata kwako kunanuka!!!!!!!!!!

huna jipya wewe ni malay fulls top...
 
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?

watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:
WEWE nawe ulishawai kuja kulalamika humu kuwa mmeo anaibiwa.leo wamtetea kimada haya ban
a
 
Una nini wewe da sophy????????? mtu mwenyewe umejichubua uso utafikiri nguruwe mwitu

umemnyanganya mwenzio mume sasa na wewe unanyanganywa

umesikia uchungu kuibiwa hawara eeeeeeeeee sasa angekuwa ndio mumeo je si ungekunywa sumu?

hujui kwamba kila mla cha mwenziwe na chake pia huliwa
 
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?

watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:
Da Sophy bana sasa unakuja na ID nyingine ili iweje??
so far nani alikuwa na flirt na huyu hawara wako??
 
Last edited by a moderator:
sa hicho kibamia umekipendea nini we da sophy?

si umrudishie mwenzio kibamia chake, wakingangania nini?

kwa yale maneno uloyaandika hapa kuhusu huyo mwanaume eti leo wajidai yameisha kaomba msamaha? amekuwa mzuri tena?
WE MWANAMKE KISIRANI WEWE.......HAKI YA MUNGU BORA KUKUTANA NA NYOKA KULIKO BINADAMU KM WW
 
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?

watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:

jamani kwakuzingatia kwamba Da Sophy mpenzi wake yuko humu jf sijui na kwakufuata hili bandiko basi huyu ni Da Sophy na hapa naomba MODS mfanye kazi zenu.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...ku-flirt-na-wanaume-msiowajua.html?highlight=
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom