Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Kuna shankupe lilikuwa linaiba mume wa mtu sasa mwenye mali kajua,mume katulia home, limekuja kupiga kelele humu,iba kimyakimya mwali wewe
Hahahaha! Nlichojifunza leo sitathubutu kuwabeza wamama wa JF wenye digrii zao. Wana mipasho kuliko Khadija Kopa lol
Mpaka watunzi wa taarab wameingia mitini.... Chezeya vitabu wewe?