Wewe mwanaume unayetembea na hili jitu Sophy rudi kwa mkeo,naamini umo humu JF.Angalia umetoka wapi na mkeo,kweli unaharibu ndoa yako kwa sababu ya huyu kinuka mkojo.Jiulize juzi kakutukana sana humu.
kweli kabisa baba rudi kwa wife, huyo sophy malaya wa town tu, atakuua na mapresha
wife tena msomi, katulia mwenyewe, Mungu akupe nini tena jamani..
hebu ona hili lisophy lilivyo na maneno ya chooni, halina heshima wala adabu limekuandika huku mitandaoni kuwa una kibamia, si bora wife amekufichia siri ndugu yangu, huyo ndo wako wa kufa na kuzikana
hebu rudi kwa wife bana, atakusamehe sisi wanawake ni wasamehevu sana
pleaaaase rudi kwa wife achana na machangudoa yatakuharibia hadi kazi sijui utaishije hapa mjini