mhhhh! Taratibu mamaa
snowhite et al, duh manake leo mmeamua, kwa maneno na misemo hii! Yaani unabaki kusema kumbe na wenye 'degree' wanaweza eeh! Leo utajuta kuwabipu wanawake wenye 'degree' wa JF, ni watakupigia wao tena kwa style ya bhaaang ya TiGO wa twanga kote kote!
Duh anyway jokes aside big up sana wanawake woooote wa JF ofcourse wenye 'degree' zao. What you are doing is simply teaching or rather reminding some little b.i.t.c.h. kuwa na staha akionewa huruma na kuonjeshwa na mume wa mtu na kamwe asifurahie kumtenda ubaya mwanamke mwenziwe, na wala asijisifu na kutangazia umma kwamba sasa yeye ndie mwenye 'hati miliki' wakati yeye identity yake ni mwizi tu anytime anywhere, no matter the language used.
Daamn! ladies wa JF wote wenye 'degree' zao mmenikosha haswa! Na tusipoangalia huu uzi unaweza vutika hasa kwa uchangiaji
nimesema haya coz I cherish and like family stability, hata kama kuiba kupo lakini kuhalalisha wizi ni kutumia kilicho katikati ya miguu kufikiri na kuamua
nite nite people