gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
sasa hataki kutumia mashudu ata ishi vipi?
hapo sasa. tena siku hizi ni zaid ya falcon manake ni combine dose utafikiri formula ya mashudu ya broiler ya interchick.
bado mtu unagomea. subiri uanze kuinua kenchi ndo utakumbuka shuka tayari cd4 zikiwa 1.