Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

mie team handsome ya peter kenneth na tushaanguka kifo cha Mende. mume mwenye akili nnae home Paw wangu, anadhibiti small hausi mie sipati disturbance. napendwa mie shavu hiliii.

Sawa lakini deni la kiloba lipo pale pale unidai
 
Ombi kwa modd lile rungu la BANN liwe pembeni
 
Kwa taarifa yenu,
1. Bwana niko naye. Nilipotaka kumpiga chini juzi kanililia hapa kama mtoto kanikumbusha mateso yote anayopata mtaa wa kule. Wanawake tumeumbiwa huruma namshangaa mwenzangu wa kule. Nimemhurumia ba watoto wangu kwa nini ateseke wakati nipo. Amekubali masharti yangu YOTE saizi kaenda kazini akirudi ni HAPA. Mi ndio Da Sophy mwingine photocopy.
2. Bwana mwenyewe kasoma digrii anazo na ung'eng'e anatema kiukweli si kama nyie na digirii zenu za kivukoni mkifungua hiyo mibakuli yenu ni shombo tu hadi kinyaa. Sa kumbe yule ajuza mtaa ule kaweka ligi ya nani zaidi. Sa sijui hizo wine anazofakamia ni za kupoza mawazo kwa kukosa unyumba au ndo kujipongeza kumshinda mume, anajijua mwenyewe. Kwani inahuuuu!
3. Kama digirii za yule ajuza mali bwana asingeziacha mbili mtaa wa kule aje huku kupiga magoti kwa ngumbaru.

Mnalo limewaganda mwaka huu.

we da sophy we una laana si bure
nahisi lazima utakuwa na mtatizo ya akili
kwanza nikuulize kitu kimoja elimu yako wewe ni ipi, mana hata la saba ameondoa ujinga si kama wewe
mwanamke una kiranga wewe
yaani umemganda mume wa mwenzio utafikiri kupe, kumbafu kabisa
Yaani ungekuwa mbele yangu mi ningekufumua hilo fuvu la kichwa chako ma...la..ya ww
mmxxiiiiii,
 
Khaaaaaaaaa, umeniharibia mudi yangu kabs we da sophy khaaa nisjie nikavunja key bord bure!!!!!!!!!!mxxiiiiiii!!!!!!!!

mmmmmmmssssssssssxxxxxxxxxxxzzzzzzzzzzz we
 
Umenisoma

Heh! Mmeikeshea ka msiba. Limewachoma eeeeh! Na bado.

Filimbi nyiiiingi mishavu imewatuna kwa kujawa mapovu kisa digirii zenu zilowajaza ujinga. Kama kusoma dili mbona walosoma tuko wote kwenye sacos tunabembeleza msingi wa kuuza losheni. Na biashara hamuiwezi kote tunawapiga bao. Nyie pesa zenu mnabahatisha kwenye semina na kongamano za mafisadi wenzenu huko maana hata bwana wa kuwahonga hamwezi pata kwa nyodo zenu. Eti niwakimbie kwa lipi?

Kwa taarifa yenu,
1. Bwana niko naye. Nilipotaka kumpiga chini juzi kanililia hapa kama mtoto kanikumbusha mateso yote anayopata mtaa wa kule. Wanawake tumeumbiwa huruma namshangaa mwenzangu wa kule. Nimemhurumia ba watoto wangu kwa nini ateseke wakati nipo. Amekubali masharti yangu YOTE saizi kaenda kazini akirudi ni HAPA. Mi ndio Da Sophy mwingine photocopy.
2. Bwana mwenyewe kasoma digrii anazo na ung'eng'e anatema kiukweli si kama nyie na digirii zenu za kivukoni mkifungua hiyo mibakuli yenu ni shombo tu hadi kinyaa. Sa kumbe yule ajuza mtaa ule kaweka ligi ya nani zaidi. Sa sijui hizo wine anazofakamia ni za kupoza mawazo kwa kukosa unyumba au ndo kujipongeza kumshinda mume, anajijua mwenyewe. Kwani inahuuuu!
3. Kama digirii za yule ajuza mali bwana asingeziacha mbili mtaa wa kule aje huku kupiga magoti kwa ngumbaru.

Mnalo limewaganda mwaka huu.

Leo humu kuna timbwili!
 
msheeeeeeeeeeeeew, huna hata aibu

kwanza unaonekana ni ile miwanawake inayojichubua hadi mishipa inaonekana,

ungekuwa wa maaaaaaaaaana saaaaaaaaaaaaaaana basi kwani asikuoe wewe? mmmmxxxxxxxiiiii
 
Easy easy

Asante mkuu Kaizer, kidoooogo jazba ilitaka kuchukua nafasi yake japo nia yangu ilikuwa kumrekekebisha huyu bishosti ambaye anadhani kuiba waume za watu kaanza yeye na itaishia kwake.

kumbe hana jipya anatakiwa tu kuwa na staha na busara ili familia za watu ziendelee kudumu na kumea. Na ikiyokea amekamatwa basi anapaswa kujishusha, kuomba msamaha ikibidi the life goes on, siyo kujishaua, alaah.
 
Last edited by a moderator:
eti bwana wako, khaaaaaa mmmxiiii, msheeeeeeeeew..........

una nini ww cha maana kumzidi wife wewe

mwenyewe shule huna makeleeeeeeeeeeeele tu

yeye mwenzio alifatwa kwao akaposwa, akaolewa, we utabaki kuwa kimada tu

huna mbele huna nyuma kipozeo wewe......muone kwanza sura kama tunguli

wenzio tunatafuta pesa wewe unatafuta waume za watu

watu kama nyie hamnaga mwisho mzuri, nakwambia subiri ipo siku yako tu
 
kwa taarifa yenu,
1. Bwana niko naye. Nilipotaka kumpiga chini juzi kanililia hapa kama mtoto kanikumbusha mateso yote anayopata mtaa wa kule. Wanawake tumeumbiwa huruma namshangaa mwenzangu wa kule. Nimemhurumia ba watoto wangu kwa nini ateseke wakati nipo. Amekubali masharti yangu yote saizi kaenda kazini akirudi ni hapa. Mi ndio da sophy mwingine photocopy.
2. Bwana mwenyewe kasoma digrii anazo na ung'eng'e anatema kiukweli si kama nyie na digirii zenu za kivukoni mkifungua hiyo mibakuli yenu ni shombo tu hadi kinyaa. Sa kumbe yule ajuza mtaa ule kaweka ligi ya nani zaidi. Sa sijui hizo wine anazofakamia ni za kupoza mawazo kwa kukosa unyumba au ndo kujipongeza kumshinda mume, anajijua mwenyewe. Kwani inahuuuu!
3. Kama digirii za yule ajuza mali bwana asingeziacha mbili mtaa wa kule aje huku kupiga magoti kwa ngumbaru.

Mnalo limewaganda mwaka huu.

yana mwisho hayo,alichokiunganisha mungu binadamu yoyote asikitenganishe,acha mume wa mtu acha mume wa mtu,ushindwe kabisa.
 
we si unafurahia kuvunja ndoa ya mwenzio

subiri tu na wewe ni mwanamke vile vile, si muda mrefu utakuja hapa ni thread nyingine

kama aliweza kumcheat mke wake wa ndoa, itakuwa wewe kimada? jina lako lenyewe limeandikwa kwa penseli

mwenyewe unajiona umepaaaaaaaaaaaaaaaaata kumbe hujui tu kuwa umepatikana...mmmxxxiiiiiii
 
Heh! Mmeikeshea ka msiba. Limewachoma eeeeh! Na bado.
Lituchome kwa lipi?? kwani k si yako umefanya doormart bado unajiona wa thamani.
wewe hadhi yako maji ya kudekia ukimaliza unamwaga.
Filimbi nyiiiingi mishavu imewatuna kwa kujawa mapovu kisa digirii zenu zilowajaza ujinga. Kama kusoma dili mbona walosoma tuko wote kwenye sacos tunabembeleza msingi wa kuuza losheni. Na biashara hamuiwezi kote tunawapiga bao. Nyie pesa zenu mnabahatisha kwenye semina na kongamano za mafisadi wenzenu huko maana hata bwana wa kuwahonga hamwezi pata kwa nyodo zenu. Eti niwakimbie kwa lipi?
hehehhehheh! jamani FP snowhite Kaunga King'asti njooni mwone hapa. Eti pesa za kubahatisha utaishia kuuza mwili wewe ili upate mtaji. unapanga nyumba ya mganga unaogopa kunuka uvumba?
Kwa taarifa yenu,
1. Bwana niko naye. Nilipotaka kumpiga chini juzi kanililia hapa kama mtoto kanikumbusha mateso yote anayopata mtaa wa kule. Wanawake tumeumbiwa huruma namshangaa mwenzangu wa kule. Nimemhurumia ba watoto wangu kwa nini ateseke wakati nipo. Amekubali masharti yangu YOTE saizi kaenda kazini akirudi ni HAPA. Mi ndio Da Sophy mwingine photocopy.
2. Bwana mwenyewe kasoma digrii anazo na ung'eng'e anatema kiukweli si kama nyie na digirii zenu za kivukoni mkifungua hiyo mibakuli yenu ni shombo tu hadi kinyaa. Sa kumbe yule ajuza mtaa ule kaweka ligi ya nani zaidi. Sa sijui hizo wine anazofakamia ni za kupoza mawazo kwa kukosa unyumba au ndo kujipongeza kumshinda mume, anajijua mwenyewe. Kwani inahuuuu!
3. Kama digirii za yule ajuza mali bwana asingeziacha mbili mtaa wa kule aje huku kupiga magoti kwa ngumbaru.

Mnalo limewaganda mwaka huu.

eti limetuganda, kwa lipi hasa?? eti umemficha nakwambia Ana alikuwa na tambo kama hizi ila aliondoka kama mbwa na sasa analalia mashudu. nakuonea huruma unayetotoleshwa mwenzio akipaa na wanae wewe unabaki kulisha uji. subiri uone cha moto ngumbaru wewe. mtu mwenyewe unayeringa huna hata ulichojaaliwa sura huna, elimu huna kimo hua umbo la kuazima basi tabu tupu.

cc Kongosho, Asprin, cacico , mwaJ, Madame B
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa yenu,
1. Bwana niko naye. Nilipotaka kumpiga chini juzi kanililia hapa kama mtoto kanikumbusha mateso yote anayopata mtaa wa kule. Wanawake tumeumbiwa huruma namshangaa mwenzangu wa kule. Nimemhurumia ba watoto wangu kwa nini ateseke wakati nipo. Amekubali masharti yangu YOTE saizi kaenda kazini akirudi ni HAPA. Mi ndio Da Sophy mwingine photocopy.
2. Bwana mwenyewe kasoma digrii anazo na ung'eng'e anatema kiukweli si kama nyie na digirii zenu za kivukoni mkifungua hiyo mibakuli yenu ni shombo tu hadi kinyaa. Sa kumbe yule ajuza mtaa ule kaweka ligi ya nani zaidi. Sa sijui hizo wine anazofakamia ni za kupoza mawazo kwa kukosa unyumba au ndo kujipongeza kumshinda mume, anajijua mwenyewe. Kwani inahuuuu!
3. Kama digirii za yule ajuza mali bwana asingeziacha mbili mtaa wa kule aje huku kupiga magoti kwa ngumbaru.

Mnalo limewaganda mwaka huu.

wahenga walinena, what goes around comes around
yangu kazi kukumbusha, hukufa hukuumbika
leo kwake keshokutwa kwako, utalamba hadi visigino
yangu kazi kukumbusha, husitukane wakunga uzazi ngalipo
poyoyo na tambo nyingi wamwaga, pimbi hapa macho kakutolea
upenyo akutafutia, nduki utatoka kama kambale alotoroka mtego
 
eti digriiiiiiii, digriiiiiiiiii

wivu tu hakuna jingine, hapo una wasi waaaaaaaaaaasi kuwa mume atarudi kwa mkewe mwenye madigriiiiiii

na we huna hata f 4..

mtuwache na madigriii yetu, tulisoma kwa shida sa ivi tunainjoi matunda ya shule zetu

tena nyie msio na madigriiiiiiiiiii ndio bure kabisa, hicho kilelimu chako cha kujua kusoma na kuandika ndicho kinakutuma kuja huku kujianika uchafu wako, ungekuwa na digriiiiii wala usingefanya hivi mjinga wewe......

huna chochote....unafikiri kuiba mume wa mtu ni ufahari mmmmmmmmmmmmsssssssssssszzzzzzzzzzzz we
 
Umenisoma

Heh! Mmeikeshea ka msiba. Limewachoma eeeeh! Na bado.

Filimbi nyiiiingi mishavu imewatuna kwa kujawa mapovu kisa digirii zenu zilowajaza ujinga. Kama kusoma dili mbona walosoma tuko wote kwenye sacos tunabembeleza msingi wa kuuza losheni. Na biashara hamuiwezi kote tunawapiga bao. Nyie pesa zenu mnabahatisha kwenye semina na kongamano za mafisadi wenzenu huko maana hata bwana wa kuwahonga hamwezi pata kwa nyodo zenu. Eti niwakimbie kwa lipi?

Lituchome kwa lipi?? kwani k si yako umefanya doormart bado unajiona wa thamani.
wewe hadhi yako maji ya kudekia ukimaliza unamwaga.

hehehhehheh! jamani FP snowhite Kaunga King'asti njooni mwone hapa. Eti pesa za kubahatisha utaishia kuuza mwili wewe ili upate mtaji. unapanga nyumba ya mganga unaogopa kunuka uvumba?

eti limetuganda, kwa lipi hasa?? eti umemficha nakwambia Ana alikuwa na tambo kama hizi ila aliondoka kama mbwa na sasa analalia mashudu. nakuonea huruma unayetotoleshwa mwenzio akipaa na wanae wewe unabaki kulisha uji. subiri uone cha moto ngumbaru wewe. mtu mwenyewe unayeringa huna hata ulichojaaliwa sura huna, elimu huna, kimo huna umbo la kuazima basi tabu tupu.

cc Kongosho, Asprin, cacico , mwaJ, Madame B

Nimeangalia pekundu hapo nikajua kumbe mnafahamiana!
Mi nlikua nashindwa ku'follow, nikasema mwalimu vipi leo nyongo imetibuka asubuhi asubuhi?!
 
Filimbi nyiiiingi mishavu imewatuna kwa kujawa mapovu kisa digirii zenu zilowajaza ujinga. Kama kusoma dili mbona walosoma tuko wote kwenye sacos tunabembeleza msingi wa kuuza losheni. Na biashara hamuiwezi kote tunawapiga bao. Nyie pesa zenu mnabahatisha kwenye semina na kongamano za mafisadi wenzenu huko maana hata bwana wa kuwahonga hamwezi pata kwa nyodo zenu. Eti niwakimbie kwa lipi?

we da sophy we ni sawa na zulia la mlangoni tu, linafutiwa miguu na kila mtu

wala huna tofauti na toileti pepa inatumiwa na kutupwa chooni

siku zako na huyo mume wa mtu zinahesabika ipo siku tu atarudi kwa mkewe
 
Kwa taarifa yenu,
1. Bwana niko naye. Nilipotaka kumpiga chini juzi kanililia hapa kama mtoto kanikumbusha mateso yote anayopata mtaa wa kule. Wanawake tumeumbiwa huruma namshangaa mwenzangu wa kule. Nimemhurumia ba watoto wangu kwa nini ateseke wakati nipo. Amekubali masharti yangu YOTE saizi kaenda kazini akirudi ni HAPA. Mi ndio Da Sophy mwingine photocopy.
2. Bwana mwenyewe kasoma digrii anazo na ung'eng'e anatema kiukweli si kama nyie na digirii zenu za kivukoni mkifungua hiyo mibakuli yenu ni shombo tu hadi kinyaa. Sa kumbe yule ajuza mtaa ule kaweka ligi ya nani zaidi. Sa sijui hizo wine anazofakamia ni za kupoza mawazo kwa kukosa unyumba au ndo kujipongeza kumshinda mume, anajijua mwenyewe. Kwani inahuuuu!
3. Kama digirii za yule ajuza mali bwana asingeziacha mbili mtaa wa kule aje huku kupiga magoti kwa ngumbaru.

Mnalo limewaganda mwaka huu.
aahhahahhahahh ndo yale yale ya mi darasa la nne mume wangu kaishia la tatu basi tumemaliza darasa ala saba!
kwa taaarifa yako na wengine woootw wakina ANNA
utabaki kuwa makumbi ya nazi tuuu!heshima yako jiko la kuni!
hadhi yangu hufiki MILELE!MILELE!
hata UDHIKIR UCHI!
huipati hadhi ya huyo dada wa watu!
 
Back
Top Bottom