Didier Drogba kurudi tena tanzania siku ya October 16

Didier Drogba kurudi tena tanzania siku ya October 16

carbohydates

Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
15
Reaction score
30
Wizara ya habari sanaa na utamaduni imetangaza tena kurejea kwa nyota na nguli wa mchezo duniani didier drogba tanzania
Katika poster ambayo imechapishwa katika wizara ya habari , sanaa na utamaduni wa wamechapisha kuwa ni maandilizi kuelekea afcon
Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa nyota huyo kutua nchini Tanzania

1792136625685.publer.com.jpg
 
Back
Top Bottom