:embarrassed:Naona wengine mnajaribu saaana kukwepa swali ama kwa makusudi au kwa kutokujua. Sijui kama sababu ni uchanga wenu kimawazo au kuna wale ambao wanaogopa na wasingependa kukutana uso kwa uso na ukweli.
Uhai wa Mwalimu ulikuwa ni mwiba kwa mipango ya watu wengi na kisiki kwa walafi. Hali ya mambo kama tunayoishuhudia hivi sasa ni matunda na uthibitisho wa hilo kama yalivyokuwa matokeo ya uchaguzi mwaka 2000.
Wahusika walinufaika sana na kifo cha Mwalimu na hawakuwa hata na chemba cha aibu kusherehekea tukio hilo. Huku kubeza hoja iliyoletwa mbele yetu ni moja ya mbinu iliyopangwa na ilitegemewa. Hizi nguvu nyingi za kunga'ng'ania madarakani si bure - kuna mengi ya kufichwa !
I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
Shimbo sasa umeamua kutufuata hukuhuku, yaani vitisho vyako vya wakati wa uchaguzi havikutosha yakheeainkiller:

Natumai hata yule jamaa mwenye kichwa cheupeeeeeeeeeeeeee alifurahi sana na genge lake la mafisadi wa Igunga.
Siku moja katika pitapita zangu nilimsikia jamaa mmoja pale UDSM akitamka kuwa wakati mwalimu akiwa hoi hospitalini kule UK, kiongozi mmoja mzito kabisa wa nchi alikwenda Marekani kuwaaambia kuwa yule jamaa anayezuia kuchimba madini yuko hoi hospitalini kamumalizieni.
I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
nasikia kifo cha jkn kilitokana na mkataba ulioingiwa kati ya serikali ya mugabe na serikali ya tonny blair wa uingereza mwaka 1997. Mkataba huo ulihusu reparation iliyotokana na mashamba ambayo wazungu waliwapora waafrika wenzetu wa zimbabwe. Kwamba katika mkataba huo mwl jkn alikuwa shahidi na kwamba malipo hayo yalitakiwa kuanza kulipwa mwaka 2000. Hivyo kwakuwa mwl jkn aliogopwa sana na wazungu, alipofika ktk hospital yao waliona ndiyo nafasi pekee ya kumchoma sindano na hatimaye kutolipa mabilioni ya dola. Kinyume na matarajio ya wengi malipo hayo hayakufanywa na ndio kisa cha baba yetu robert mugabe kuwafukuza wazungu wale.na kuwapora mashamba yetu. Hivyo inasemekana kuwa kifo cha jkn ilikuwa njia sahihi ya kupoteza ushahidi dhidi ya mkataba huo.
Haina mantiki kabisa.Du Mengi yatasemwa, na Mengi yamesemwa....... Lakini This I find it hard to believe.
Haina mantiki kabisa.
Or Horace Kolimba for that matter!