Heshima Mbele Kiranga,
nadhani umelipokea swali vizuri, na kabla hujachangia umeliombea ufafanuzi,
kwa upande mwingine nadhani JF inaanza kupungukiwa watu wenye werevu, Swali lilikuwa "Did mwalimu die a natural death? " lakini mtu anaanza kuingiza mambo ya Sokoine na vitu kama hivyo,
Nikijibu Swali lako Kiranga kwa uelewa wangu ni kuwa:
1) Natural Death nikwamba Mwili umeshafika mwisho wake wa kufanya kazi, moyo umeshindwa kufanya kazi yake, figo zina fail na vitu kama hivyo na hiyo inaweza kusababishwa na Uzee, Maradhi, nk
2) UnNatural Death ni Kifo kinachosababishwa (mechanical), Ajali, Kuuliwa kwa njia yoyote (Risasi, Panga, Moto, Maji, Sumu nk)
Some would argue that, death is in the nature of all living things, and thus the categorization of "natural" and "unnatural" death is a mere matter of convenience for coroners.
Ukisema ugonjwa uko natural na ajali si natural unasema hivyo kwa kigezo gani? Hata ugonjwa nao unaweza kutoka nje ya mwili kama ajali.
Msingi huu huu ndio unaonifanya nikatae habari ya "kafa kabla ya siku zake". Siku utakayokufa ndiyo siku yako ya kufa, it is not like tumeandikiwa siku fulani tutakufa.
Kama mna data valid ziwekeni, otherwise inakuwa mazungumzo yasiyo kina.
Ooh!!! ngoja nitoke humu. But before I leave....you might even end up asking: Dr Omari Ali Juma died naturally?
death is death.
did BENARD MAMBINA MAFURU, who was Mara Regiona Executive Secretary and Lake zone Hospital (kwanga) Secretary Project, who was killed in Tarime 18/May/1988 DIED A NATURAL DEATH???did sokoine die a natural death ??
did sokoine die a natural death ??
i have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
ooh!!! Ngoja nitoke humu. But before i leave....you might even end up asking: Dr omari ali juma died naturally?
Death is death.
what about balozi ngaiza?
duh! Ngaiza tena? Yule mzee jamani acha tu,sokoine? Chachage? Ms mbatia. Acha bongo iitwe bongo!
r.i.psince we are asking..... What about kolimba........... Kigoma ally malima.....
Kiherehere,did BENARD MAMBINA MAFURU, who was Mara Regiona Executive Secretary and Lake zone Hospital (kwanga) Secretary Project, who was killed in Tarime 18/May/1988 DIED A NATURAL DEATH???
Kiherehere,
You knew Bernard Mambina? He was my uncle. Alikatwa mapanga Tarime. Ila kuhusu Mwalimu, najua daktari wake, ambaye hivi sasa ni mbunge anayo siri kubwa.
Zakumi,'Jasusi:
Siri gani tena hiyo wajemeni? Lakini inawezekana maana baada ya kuondoka tu, ubinafshaji wa NBC one of his master piece went so fast.
<br />I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!
Zakumi,'
You are on to something. I wish I could talk more. Kuna rafiki yangu mmoja pale DSM aliniambia kuwa Tanzania ya leo siyo ile aliyoiacha Mwalimu.