Did he truly mean what he said??

Did he truly mean what he said??

Tena wakome, wao wanajifanya waumiziji wakuu ila nashukuru kuna wanawake wao ni zaidi yao, yaani akiacha maumivu mtu lazima aweweseke miaka 20

Kabisa, yaani wanawewesekaga hao fulll kutia huruma.
 
I guess unaona kabisa giza linaingia na haujapata hata hesabu yoyote. That's why unaokoteza chochote unachohisi kinaweza kukusitiri. Anyway, subira yavuta kheri, wenda ukapatakwa jamaa.
 
Atakuwowa mngoje, hata wafilipino kwenye tamthilia nawaonaga wanaahidiana ndoa wakiwa watoto na kweli ukubwani wanaona, mngoje mwayego usivunje ahadi
 
Alikuwa ni boyfriend wangu and we broke up last year,but kuna siku nilimtext ili nimsalmie,baada ya salamu akanitext kuwa he will marry me after 3 years. Kilichonishangaza ni kuwa tangu hiyo siku hajawahi kujirudi na kunichukulia kama his girlfriend na wala haoneshi any consideration.

Kwa sababu we are far from each other but hua hanitext wala kunipigia,nisipofanya mimi kumtafuta ndo basi hivo,and inafkia kipindi nachoka coz naona its like najipendekeza sana kwake.

Naombeni ushauri jamani,should i take his words and trust him or does he play with my feelings?

A man should act not speak girl, get that into your head nothing a man says is true until the moment you see it happening don't trust his childish promises.
 
I guess unaona kabisa giza linaingia na haujapata hata hesabu yoyote. That's why unaokoteza chochote unachohisi kinaweza kukusitiri. Anyway, subira yavuta kheri, wenda ukapatakwa jamaa.

mkuu me sio bibi, i am a young lady of only 20 years and attractive sio kwamba najisifia. And sio kwamba siwezi kupata mtu thats why unaona kama ninamganda huyo mtu,NO! There are many guys who are in need of me out there,sio kwamba yeye ndo maisha yangu,NEVER. But hii ni thread tu ya kupeana ushauri juu ya hili.
 
Huyu binti anasubiria ndege feri.... halafu anatetea kabisa....

Namhurumia ujue

Atakuwowa mngoje, hata wafilipino kwenye tamthilia nawaonaga wanaahidiana ndoa wakiwa watoto na kweli ukubwani wanaona, mngoje mwayego usivunje ahadi
 
kwani wewe shida yako kuolewa au nini mrembo
 
Alikuwa ni boyfriend wangu and we broke up last year,but kuna siku nilimtext ili nimsalmie,baada ya salamu akanitext kuwa he will marry me after 3 years. Kilichonishangaza ni kuwa tangu hiyo siku hajawahi kujirudi na kunichukulia kama his girlfriend na wala haoneshi any consideration.

Kwa sababu we are far from each other but hua hanitext wala kunipigia,nisipofanya mimi kumtafuta ndo basi hivo,and inafkia kipindi nachoka coz naona its like najipendekeza sana kwake.

Naombeni ushauri jamani,should i take his words and trust him or does he play with my feelings?

No He Didn't!!
 
Hahahahaha!!! Poyee!

Mim nina moyo wa chuma ndugu, maumivu siyajui nakuonea huruma tu.

Hebu tulia ucje kufia mikoni mwangu nikapamba kurasa za magazeti buree.

If it's for you..it'll be worth it!

atoto let's be serious...kuna haja ya mimi na huyu mrembo kuwasiliana faragha...huoni ana zile symptoms zako na ICHANA!??
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaa! We nenda tu ila kumbuka ashakupa warning mapemaaaaa
 
Last edited by a moderator:
mkuu me sio bibi, i am a young lady of only 20 years and attractive sio kwamba najisifia. And sio kwamba siwezi kupata mtu thats why unaona kama ninamganda huyo mtu,NO! There are many guys who are in need of me out there,sio kwamba yeye ndo maisha yangu,NEVER. But hii ni thread tu ya kupeana ushauri juu ya hili.

Nimelipenda Hili Tangazo Lako, nakukaribisha Pm kwa Ajili Ya Kufahamiana
 
Back
Top Bottom