Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
mkuu me sio bibi, i am a young lady of only 20 years and attractive sio kwamba najisifia. And sio kwamba siwezi kupata mtu thats why unaona kama ninamganda huyo mtu,NO! There are many guys who are in need of me out there,sio kwamba yeye ndo maisha yangu,NEVER. But hii ni thread tu ya kupeana ushauri juu ya hili.
Run n save ur soul.concentrate on wat makes you happy like duin ur hobbies u will forget him.ni mwizi huyo..I have been going through the same..mwanaume kama ni wako will do anything to make the relationshp work
Love love love
Nikitu kibaya sans
Ni kwel acha haraka sn kujipendekeza hvyo.. Hiv kwann mtu huon dhaman yako? n kuwa wanaume wameisha kabak yeye tu au n nin?? au kwasbbu umeckia ndoa? achna nae huyo si rzik yako, endelea na maisha yako, mambo ya kudeal na ma ex utaishia kukonda tu. Km mlishaachn bas ibaki hvyo, cyo unaanza kumchombeza chombeza tn. We muache km atakuwa anakuhitaj atakutafuta mwenyew..!!
Huko vyuoni siku hizi walimu wana kazi ngumu.
Kwanini?
Bongo zenu hazichaji.
We endelea na yako tu. Huyo usimtegemee