Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Ww ushaniharibia kwa missyrose wangu..Nakuchukia kama nn
Teh teh teh, we nenda kwingine tu sitokuharibia, ila kwa le familia aiseee tafadhali sana.
Ww ushaniharibia kwa missyrose wangu..Nakuchukia kama nn
Daaaah wifi umenikumbusha mbaaali, enzi hizoooo!!
Hahahahaha!!! Mbinu murua hiyo kwa kupunguza maumivu.
Teh teh teh, we nenda kwingine tu sitokuharibia, ila kwa le familia aiseee tafadhali sana.
Nina hamu ya kuuagua moyo wako!
Walau fursa yangu ina manufaa kwa wote! #jamiiKwanza
Haya dada shem..Ila kaa ukijua mdogo wako bado ananipenda..
Teh teh teh teh! Usiusemee moyo kaka shemeji.
Nina hamu ya kuuagua moyo wako!
Walau fursa yangu ina manufaa kwa wote! #jamiiKwanza
Mweeeeh!! We wako nani aliuagua hadi utake kuagua wa mwenzio? Au mwaenda kufarijiana?
Mim mwenyewe nataman kila siku nione wanaume 20 wanatendwa sawasawa wanalia hadi kamasi humu mim nafanya sherehe tu.Yaani mwanaume akileta uzi humu kaumizwa nafurahije sasa!
Cc Mentor
Mim mwenyewe nataman kila siku nione wanaume 20 wanatendwa sawasawa wanalia hadi kamasi humu mim nafanya sherehe tu.
Hahahaaaa! Na wanavyojifanya wanajua kuumia sasa hadi raha, full burudani.
Lakini uzuri siku hzi mambo yanajibalance. Hawa watu nawapenda sana
Dida wa Ezden
Jide wa Gadner
Flora wa Mbasha
Nawengineeee bado wapo njiani kama Nuhu na Ndomo
Hahahaaaa!!
Kuna mmoja juzi alikuwa ananipa story yeye alilea mimba na mtoto hadi mtoto kafikisha 2years binti akadai anaolewa, kumbe anayemuoa ndio baba wa mtoto, jamaa aliumia hatari kawa kama kichaa, nilimpa pole huku moyoni to be honest ile story ilinifurahishaaa, maana nae aliwahi umiza mtu kabla ya huyu binti.