Huna maisha mengine zaidi yake????
Halafu una mwandiko mbaya
Kweli unajipendekeza aisee..Achana nae huyo..Anakuchezea tu
of course he is playing wit ur feelings... na mbaya zaid unamwacha aendelee kukuchezea...
mkuu kunakitu inabid ujifunze na hicho kitu ni wewe kukubali umependa usipopendwa afu ukisha kubali hicho kito amua sasa ku move on maana nnaona wewe na yeye wote mnacheza na hisia zako...
"happiness z not somethng that happens down the road happiness z now or not at all"
nime quote sehem
my dear Hellen Goodluck usijisumbue, there is nothing for you hapo trust me...endelea na maisha yako, you are wasting your time,money and breathe on a person that is not yours, its a lot to take in ila ndio hivyo,imeze tu
Akili yako haina akili
it is the matter of advicing Bufa. What if ingekuwa ndo let say mdogo wako of 22 years old or hata mtu yeyote ambae yupo close to you anahitaji just a small piece of advice? Ungemjibu "akili yako haina akili"? Its not fair kwa upande wangu,sometimes we just need help and some good advices! Anyway It's okay mkuu!
Hawakosekani hawa watu maeneo kama haya aisee. Take it easy dear. Be strong and forget about that guy for good.
Unajipendekeza ndio...
Achana nae ila kabla ya kuachana nae, fanya kila uwezalo hakikisha anakuwa mikononi mwako kisha mfanye aamini unampenda sanaaa baada ya hapo mtupe kwenye dustbin ili na yey augue japo kidogo.
hahahahahaha! Nimeipenda hiyo......