Did he truly mean what he said??

Did he truly mean what he said??

na hatafanikiwa kwa hilo coz nshatupilia mbali everything about him,what matters now to me is my happiness,my life and i will keep living my rules
 
na atajuta for sure siku akijikuta anajileta tena.......i will make him suffer for the rest of his life......coz i always live my principles and rules......AND ndo hivo yani am MOVING ON,NO STRESS.
 
Jamaa unamuelewa ata akirudi yu couldn't make him suffer sana utampokea na kujisikia poa kuwa nae mikononi mimi ni boy nime experience hilo kwa ladies zaidi ya wanne hao ata nimuanzie asubuh hii kubembeleza jua halizami nala
.Mapenzi upofu ulipopenda kamwe huwez kupachukua sana sana utaushawishi moyo tu kitu ambacho in reality unakipenda n u fill worth to have it
 
Na unafurahia hali hiyo ya kuwachezea hisia zao eti!!!
 
kweli mwalimu wetu kipofu eh....kibajajitz njoo muone huyu anasubir meli airpot lol...kweli nzi akiacha ujinga anaweza akatengeneza asali....
 
Hawataki kukubali ukweli tatizo

We si unajua hauwapendi na wanakupenda, so unatumia hiyo loop hole kuwatumia kila unapojisikia, ilihali unajua kabisaaa kuwa si kila anayependa anapotendwa anaweza akamove on kirahisi, ilafurahia tuu kuwachezea na kumbuka tu what goes round.......
 
comes around but nadhani huu msemo hautakuwa full fill kwangu let wait n see
 
Karma is a bitch, inaweza isiwe kwako ila ikawa kwa kizazi chako, tenda kile unachopenda kutendewa wewe na kizazi chako. Jifariji tu.
 
Atoto nashukuru kwa ushauri wako but ladies ain't strong kabisa sometimes inabidi kuwatumia tu kumaliza haja zako mana wako available too much
 
Hii pia ni kauli ya un-matured person, so kila kilicho available wakitumia? And what daz that makes you??
 
Fancy waiting around for three years, waiting for a contigent promise made by an ex who doesn't give a shit about you.

Girls come on.
 
na atajuta for sure siku akijikuta anajileta tena.......i will make him suffer for the rest of his life......coz i always live my principles and rules......AND ndo hivo yani am MOVING ON,NO STRESS.

You just sound desperate, believe me. Huyo jamaa akikupigia hata leo "anakupakata" na huwezi kumuumiza kabisa wewe. He still control your feelings. Kama kauli ya jamaa kuwa atakuoa baada ya miaka mitatu unadiriki kuuliza kama uamini au la, basi hizo principals unazoishi zina walakini kwa akili za kawaida.
 
Ufaulu ulisoma wapi? Cheti
Dont think linearly , unafikiri kila ''somo'' linafungamanishwa na ''darasa'' na ''mwalimu'' na ''mtaala'' na cheti?!

Wakatoliki kila jpili wana somo la kwanza na somo la pili, embu waulize wana vyeti vingapi?
 
Back
Top Bottom