Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
[media]http://uk.youtube.com/watch?v=SNOwISiqj3g[/media]
Hawa Nike naona wameanza kukiuka masharti ya matangazo sasa...... subiri kijana afe ndiyo utaona wanavyo regret kutangaza kwa mbinu hiyo...... sidhani kama tangazo hilo litafika kwenye TV, nadhani litaishia kuwa viral marketing tu.
Amazing though...
video yenyewe imegoma.... not available!!
KKN, tatizo ujumbe kama huo siku hizi ni generic, kila mmoja anayeamua kufanya vioja au maovu anaweza kuutumia kwa ajili ya kuweka video zake kwenye Youtube....... ule udhamini wao katika hiyo stunt unaolenga kuonesha kuwa 'ukivaa Nike' unaweza kuruka hivyo, ndiyo unao wafikia vijana mitaani.Steve lakini Kobe ametoa warning hapo kwa kila mtu- "DO NOT TRY THAT AT HOME"- Personally,I dont think its real, amazing thou!
dmussa, pole kutoweza kuiona.... inawezakana ni kutokana na geographical region uliyomo ndiyo maana haupati.... ila uki search youtube kwa key words kama: kobe, aston martin, nike... nadhani unaweza kupata youtube mirror account iliyo post video kama hiyo hiyo... maana ziko zaidi ya 14 showing the same video.video yenyewe imegoma.... not available!!
Change your internet provider au PC!
Steve lakini Kobe ametoa warning hapo kwa kila mtu- "DO NOT TRY THAT AT HOME"- Personally,I dont think its real, amazing thou!