Did he really do this?

Hawa Nike naona wameanza kukiuka masharti ya matangazo sasa...... subiri kijana afe ndiyo utaona wanavyo regret kutangaza kwa mbinu hiyo...... sidhani kama tangazo hilo litafika kwenye TV, nadhani litaishia kuwa viral marketing tu.
Amazing though... :)
 
Steve lakini Kobe ametoa warning hapo kwa kila mtu- "DO NOT TRY THAT AT HOME"- Personally,I dont think its real, amazing thou!
 
Steve lakini Kobe ametoa warning hapo kwa kila mtu- "DO NOT TRY THAT AT HOME"- Personally,I dont think its real, amazing thou!
KKN, tatizo ujumbe kama huo siku hizi ni generic, kila mmoja anayeamua kufanya vioja au maovu anaweza kuutumia kwa ajili ya kuweka video zake kwenye Youtube....... ule udhamini wao katika hiyo stunt unaolenga kuonesha kuwa 'ukivaa Nike' unaweza kuruka hivyo, ndiyo unao wafikia vijana mitaani.

Na kuhakikishia kuwa hiyo stunt itakuwa repeated over and over again, na watakao kuwa wanafanya hizo stunt watavaa nike kama insurance cover yao tu kama mambo yanaenda kombo..

video yenyewe imegoma.... not available!!
dmussa, pole kutoweza kuiona.... inawezakana ni kutokana na geographical region uliyomo ndiyo maana haupati.... ila uki search youtube kwa key words kama: kobe, aston martin, nike... nadhani unaweza kupata youtube mirror account iliyo post video kama hiyo hiyo... maana ziko zaidi ya 14 showing the same video.

baadae
 
there is something fishy about this one, kuna computer imechezea hii stunt, i have seen this from somewhere, but outcome was not this one!!
 
Steve lakini Kobe ametoa warning hapo kwa kila mtu- "DO NOT TRY THAT AT HOME"- Personally,I dont think its real, amazing thou!

I like this phrase: "If someone knocks you down, it's their faulty, but if you stay down its your faulty."

It reminds our endless complaints about colonialism and neocolonialism but we forget that we contribute considerably to the problems we have in Africa including our beloved country, Tanzania.

Yes, I agree it's our faulty to think our problems are caused only by external factors. We should learn learn how to solve our own problems effectively.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom