Na kwa nini wewe unaona ni upumbavu ?Mambo ya uRaia wa Nchi mbili ni upumbavu wa kawaida hii ndio ilikuwa Sera ya yule ndg yake mkwere
viongozi wa Awamu hii ya 5 tumewakosea nini sisi Watanzania tunaoishi nje ya nchi (Diaspora)? Tofauti na awamu zilizopita ambapo wana-diaspora walipata Teuzi kwenye baraza la mawaziri (Nyalandu, Membe n.k), na taasisi nyeti serikalini (TTCL & TPDC) mpaka leo zaidi ya siku 100 za awamu ya 5 hakuna mwana-diaspora, kwa nini? sisi tuna uzoefu na exposure ya kutosha kushinda baadhi ya hao #FUKUZAFUKUZATEAM#. Mheshimiwa tupia jicho kwenye dhahabu zilizopo nje ya Tanzania.
Kodi ya nini mkuu?Hivi mtu akiwa mtz anaishi nje
kodi anatakiwa kulipaje?
Hata mi sioni umuhimu wake...Na kwa nini wewe unaona ni upumbavu ?
Kodi ilipwe na raia wanaoishi Tanzania tu labda na wale walio nje ila wanafanya kazi serikalini. Sisi wengine hapana[emoji135] [emoji135] kodi tunazolipa huku zinatoshaHivi mtu akiwa mtz anaishi nje
kodi anatakiwa kulipaje?
Hii mada ingekuwa jmos jion ingekuwa mzuka
Kodi ilipwe na raia wanaoishi Tanzania tu labda na wale walio nje ila wanafanya kazi serikalini. Sisi wengine hapana[emoji135] [emoji135] kodi tunazolipa huku zinatosha
Hehehehehe asante sana nimekomaa nao. Ila hilo jina la wala vumbi nimelipenda sanaapole....naona leo unaenda jino kwa jino na wala vumbi wa Bongo!!
Hehehehehe asante sana nimekomaa nao. Ila hilo jina la wala vumbi nimelipenda sanaa
unakatwa kodi asilimia ngapi?Hehehehehe asante sana nimekomaa nao. Ila hilo jina la wala vumbi nimelipenda sanaa
Diaspora ni jipu la kutumbua pia maana wengi wenu hamjitambui mnataka nini!! leo hii mnalia lia kukosa uteuzi serikalini? kwa lipi mlichofanyia Tanzania? mmeshindwa hata kuwapa vijana wetu michongo ya scholarships huko ughaibuni mnataka tuwaamini kwenye ngazi ya uwaziri
Hivi Chris Lukosi amefia wapi?
Itabidi kukwepa[emoji119] tu maana hamna nyingineHahahah...na uwaite kimyakimya
maana wanajua sana kurusha chupa tupu isije kukulenga tu...