and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,122
viongozi wa Awamu hii ya 5 tumewakosea nini sisi Watanzania tunaoishi nje ya nchi (Diaspora)? Tofauti na awamu zilizopita ambapo wana-diaspora walipata Teuzi kwenye baraza la mawaziri (Nyalandu, Membe n.k), na taasisi nyeti serikalini (TTCL & TPDC) mpaka leo zaidi ya siku 100 za awamu ya 5 hakuna mwana-diaspora, kwa nini? sisi tuna uzoefu na exposure ya kutosha kushinda baadhi ya hao #FUKUZAFUKUZATEAM#. Mheshimiwa tupia jicho kwenye dhahabu zilizopo nje ya Tanzania.