Diaspora tumesahaulika Awamu hii ya 5

Diaspora tumesahaulika Awamu hii ya 5

viongozi wa Awamu hii ya 5 tumewakosea nini sisi Watanzania tunaoishi nje ya nchi (Diaspora)? Tofauti na awamu zilizopita ambapo wana-diaspora walipata Teuzi kwenye baraza la mawaziri (Nyalandu, Membe n.k), na taasisi nyeti serikalini (TTCL & TPDC) mpaka leo zaidi ya siku 100 za awamu ya 5 hakuna mwana-diaspora, kwa nini? sisi tuna uzoefu na exposure ya kutosha kushinda baadhi ya hao #FUKUZAFUKUZATEAM#. Mheshimiwa tupia jicho kwenye dhahabu zilizopo nje ya Tanzania.
We diaspora wa wapi mwenye muda mchafu wa kumezea mate teuzi za Magufuli?
 
Diaspora ni jipu la kutumbua pia maana wengi wenu hamjitambui mnataka nini!! leo hii mnalia lia kukosa uteuzi serikalini? kwa lipi mlichofanyia Tanzania? mmeshindwa hata kuwapa vijana wetu michongo ya scholarships huko ughaibuni mnataka tuwaamini kwenye ngazi ya uwaziri?
Tatizo la wabongo wengi wepesi ku generalize.

Akisema mtu mmoja, ambaye hata hatujui kama ni diaspora kweli au mla vumbi wa Kariakoo tu anajitutumua hapa, basi utaona watu wanajifaragua bila hata maswali.

Hiyo ni alama ya elimu ndogo na utapiamlo wa ubongo tangu utotoni.

Quite possibly na minyoo iliyoenea mpaka kwenye mfumo wa damu pia.
 
Biashara gani?

Na kundi gani hasa unalolizungumzia?

Mmarekani anayeishi Tanzania kwa miezi 12 bila kurudi Marekani au Mmarekani anayeishi Marekani lakini mwenye biashara zake nje ya nchi huku makazi yake yakiwa Marekani?

tuseme second group wenye business nje huku wanaishi USA
 
Watanzania wenye nyumba USA au UK au Dubai na other bussiness
je wanaripoti TRA ?hilo ndo nilikua najaribu kuliuliza
hivi tuna hata sheria ya aina hiyo?
Mi nina nyumba USA, siripoti TRA.

Lakini natuma hela nyingi Tanzania, zinazolipa kodi kubwa kuliko the average GDP per capita ya Watanzania wengi tu.

Kwa hiyo kodi ninayolipa Tanzania inashinda kipato cha wastani cha Watanzania kadhaa kwa mwaka.

Tena Tanzania unaweza kumnunulia mtu gari zawadi, gari likaja mpaka bandarini, akakwambia kashindwa kulitoa kwa sababu ya kodi, ikabidi ulinunue gari mara ya pili kwa kumlipia kodi.

Bado sijalipa kodi Tanzania hapo?
 
Wana-Diaspora tusaidieni contacts za Masters & PhD scholarships huko mlipo wadogo zenu tunahangaika hapa TZ
 
Watanzania wenye nyumba USA au UK au Dubai na other bussiness
je wanaripoti TRA ?hilo ndo nilikua najaribu kuliuliza
hivi tuna hata sheria ya aina hiyo?

Hilo ni gumu sana kujua.

Mtu kama ana hizo mali huko ughaibuni utaanzia wapi kujua?

Mimi kama ni driver-partner wa Uber kwenye moja ya majimbo ya Marekani, TRA watajuaje?
 
We diaspora wa wapi mwenye muda mchafu wa kumezea mate teuzi za Magufuli?


Dharau, dharau, dharau! Kuna mahali nilisoma Wazungu walikuwa wanajadili mambo ya Afrika mmoja akasema namnukuu
,,my experience with Africa and people of Africa is that, the more educated they are, the more of an enemy they become of their own society where as in the west and other parts of the World the more educated one is the more helpful she/ he becomes to his/her own own society" !
 
Kwani huyo diaspora nyarandu kasaidia nini wizara yake ya utalii...
 
Dharau, dharau, dharau! Kuna mahali nilisoma Wazungu walikuwa nwanajadili mambo ya Afrika mmoja akasema namnukuu
,,my experience with Africa and people of African is that, the more educated they are, the more an enemy they become of their own society where as in the west and other parts of the World the more educated one is the more of helpful she/ he becomes to his own society" !
Dharau anazo huyo aliyeona ni lazima watu wa diaspora wateuliwe.

Kama vile mamilioni ya watu walio Tanzania hawafai.

Mie siwezi kuwa na dharau kwa kukataa kujiingiza katika shughuli za serikali ambayo siielewi.

Zaidi, nina unyenyekevu wa hali ya juu wa kutotaka makuu.

Dharau anazo huyo anayetaka ku force watu wa diaspora wateuliwe wakati hata haelewi challenge za nchi zikoje.
 
USA baby
usa-flag.gif
usa-flag.gif
usa-flag.gif
usa-flag.gif
usa-flag.gif
usa-flag.gif
usa-flag.gif
v
usa-flag.gif
usa-flag.gif
usa-flag.gif
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Watu Kama kina Copenhagen wakirudi bongo wanajifanya wamesahu Kiswahili kisa amekaa nje miezi Sita.
Nadhani huyu jamaa yuko Lindi anajifanya yuko nje
 
Tatizo la wabongo wengi wepesi ku generalize.

Akisema mtu mmoja, ambaye hata hatujui kama ni diaspora kweli au mla vumbi wa Kariakoo tu anajitutumua hapa, basi utaona watu wanajifaragua bila hata maswali.

Hiyo ni alama ya elimu ndogo na utapiamlo wa ubongo tangu utotoni.

Quite possibly na minyoo iliyoenea mpaka kwenye mfumo wa damu pia.
Hahahhahahahhaah minyoo mpaka kwenye
Mifupa umenichekesha mno.

Anyway sana sana kitu ambacho mi ningeomba
Hii serikali iangalie ni "dual citizenship ".

Hicho tu basi.
 
Back
Top Bottom