Diaspora tumesahaulika Awamu hii ya 5

Diaspora tumesahaulika Awamu hii ya 5

Hahahhahahahhaah minyoo mpaka kwenye
Mifupa umenichekesha mno.

Anyway sana sana kitu ambacho mi ningeomba
Hii serikali iangalie ni "dual citizenship ".

Hicho tu basi.
Mini hata dual citizenship sitaki.

Na dual citizenship haiwezi kuja Tanzania kabla ya kufariki kwa Benjamin William Mkapa.

Ndiye aliyeikataa.

Bila Mkapa Kikwete angeshaipitisha kitambo tu.
 
nyny wabeba box mlidekezwa sana na mkwere, yaan alikua kila akija huko lazma mwonane nae na kupiga nae mapicha ya insta na watsup, safari hii namba mtaisoma huko huko majuu, mkuu wa kaya hana time nanyie. bebeni box mpaka mabega yachakae
 
Dual citizenship ya nini? na kwa lipi hasa? mchango wenu hauonekani katika Tanzania ya Viwanda (2015-2020)
 
nyny wabeba box mlidekezwa sana na mkwere, yaan alikua kila akija huko lazma mwonane nae na kupiga nae mapicha ya insta na watsup, safari hii namba mtaisoma huko huko majuu, mkuu wa kaya hana time nanyie. bebeni box mpaka mabega yachakae
Jk kaja ughaibuni, kaenda kuzindua nyumba ya uncle wangu, balozi.

Nimeitwa nikaongee naye kwa close access.

Nikakataa.

Sina muda mchafu huo.

Si kila mtu diaspora anapapatikia habari za upuuzi hizi.
 
nyny wabeba box mlidekezwa sana na mkwere, yaan alikua kila akija huko lazma mwonane nae na kupiga nae mapicha ya insta na watsup, safari hii namba mtaisoma huko huko majuu, mkuu wa kaya hana time nanyie. bebeni box mpaka mabega yachakae
Kwani unafikiri tuna haja ya kupiga picha na mtu? Mbona hata bila picha hizo mambo yetu yanatunyookea tu?
Mtakaoisoma namba ni nyie mana si tukija ni vacation tu
 
serikali ya awamu ya 5 inadeal na kuwakomboa maskini waliopo Tanzania..mpaka umeenda kuishi nje inamaana unajiweza..sasa ukumbukwe kwa lipi
 
Hivi mtu akiwa mtz anaishi nje
kodi anatakiwa kulipaje?
Wanaoishi nje ya nchi(diasporas) huwa wanajisahau sana badala yake wanashindwa hata kulipa kodi na taifa kukosa pato.
Napendekeza ingewekwa sheria ili wote wafungue bank account nyumbani na mshahara wao upitie huku ili waweze kulipa kodi. Pili wanahisi kama ndo wenye exposure wa kupewa nafasi nyeti nchini wakati hawalipi kodi, sasa kwa lipi bora waliofanyia taifa hadi wahitaji ajira za tanzania.
 
Hizi sasa ndoto za mchana kweupeee.
Kazi tufanye wapi mpaka mishahara yetu iwekwe kwenye acc za bongo? Hii haitakuja kutokea
 
Hizi sasa ndoto za mchana kweupeee.
Kazi tufanye wapi mpaka mishahara yetu iwekwe kwenye acc za bongo? Hii haitakuja kutokea
Basi kama unabeba box unataka nafasi gani sasa bongo c bore wapewe vijana wanaoishi bongo
 
mkuu acha kulialia beba boksi wewee. Napoandika hii comment maamae ndio naelekea ghetto tangu saa 10 alfajir. Hayo mattcl cjui nn tupa huko. Nyinyi ndio homu kwenu mambo safi mkija huku mnatumiwa poket mani kila mwez. Sasa hiv magu katumbua majipu ya madingi zenu hamna tena zile poket mani mnabaki kulialia

Acha kulialia weweeee beba boksi

poketi mani ndio nini?
 
Diaspora naona mnaelekea siko aisee, imefika sehemu mkalewa vyeo vya enzi zile za LE CHINESE PROFESERI mkafikiri Ngosha ana shobo kama zake!! Mtaisoma Namba!
 
Back
Top Bottom