General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
km Nyani gabu kazi yake ni kushinda JF unategemea atalipa kodi gani?swali langu ni hili
wamarekani wenye biashara nje ya marekani hawalipi kodi Marekani?
Sijui km kuna mwanadiaspora anayefanya biashara ya kueleweka ughaibuni