Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Okay sawa wanatambua wao wanatoka africa,Wanasoma na watt ambao baba zao ni jinsia moja,sasa hapo lazima Wataona kawaida tu,Wanasoma na watt wanatoboa masikio hapo wataona kawaida tu,Wanasoma na watt wanaosuka nywele(watt Wa kiume) wao wanaona kawaida tu,walimu wanawaambia wazaz wakiwapiga mtoe taarifa,kweli mkipiga akienda shule kila kitu anamwambia mwalimu wake,baada ya mda polisi hao,sasa hayupo unaona maadili kweli???na hiyo sehemu ni good place kwa kuraise mtt?Sema kweli,Usipende kutetea labda kwa sababu hupo dunia ya Kwanza,tell us the truth kaka

Mkuu, unaweza ukawa uko sahihi katika madai yako.

Lakini hayo tote uloeleza Ni asilimia ndogo Sana kulinganisha NA watoto wengi NA hai baba zao. Lakini kila kitu kinaanzia nyumbani NA inategemea NA setup yako. Ukikosea mahala basi mtoto atapotea njia.
Mimi walimu na watoto wangu wanafahamu kwamba nikiitwa shuleni kwa jambo la kijinga basi kutawaka Moto. Na watoto watakosa kila kitu wanachopata ikiwa watafanya ujinga.

Ni kuwa karibu na watoto kwa kila jambo wanalopitia NA hasa internet.

Ukizidisha Sana maboksi utasahau watoto.
 
Hivi Diamond hajatoboa masikio na pua??hivi Kinondoni hamna mshoga wanaotembea na kuonekana mchana kweupe?? Hivi mateja yanabwia unga mchana kweupe yako wapi?? sio Kinondoni?? Mie naona hapa ni jinsi wewe kama wewe unavyomlea mtoto ndio ina matter na sio mtoto kakulia wapi hayo mengine ni add ons katika life.

Kaka sijakataa mfano hilo la kutoboa hapa lipo sana maana sisi wabongo watu wa kucopy sanaaaaa,hilo la mashoga pia lipo lakini wabongo tunaona kama makosa mpka sometimes ukiona mashoga unawatukana na kuthubutu hata kuwafanyia fujo lakini dunia ya kwanza imekubaliwa kisheria,kuna watu wengi wanafunga ndoa wenye jinsia moja,wanafanya vitu vingi vya ajabu ajabu na mpaka pia wanaishi na watt ambao wamewachukua katika vituo vya yatima,na ukijaribu hata kuwafanyia fujo sheria kali itakuandama mpka utajuta,hiyo ndo maana yangu
 
Mimi nilikuja Ulaya zamani sana nikasoma nikamaliza.

Nilisomea ICT na niko vizuri kwenya hardware.

Wakati nikisoma nimefanya kazi Kama Data Entry, systems configurations na Admin katika mashule ya Ulaya hivyo nafahamu setup na admin yaani scope.nzima.

Mshahara wangu kwa mwezi ulianzia na tshs 3m hivi sasa hivi upo kwenye 4m hivi za TZ kwa mwezi. Hili Ni eneo ambalo kazi zake haziishi.
Lakini wakti nikisoma nilipga mzigo kisawasawa NA nafahamu Copenhagen anachopitia.
Kwa hiyo msahara wako ni $1800 per month?

Mkuu kwa huu mshahara kweli ukitoa matumizi yako unaweza kweli kuja kuwekeza kwenye sekta ya mabenki na mashamba kama anavyosema Copenhagen?

Huu mshahara mbona huko Tanzania watu wengi tu tena wa maisha ya kawaida wanakusanya hiyo pesa kwa mwezi.
 
Kumbe kawaida sana! Kodi 36% Chakula %? Gheto %? Huduma za kijamii %? n una save %?
Kaka chakula sio ishu kabisa. Kuna sehemu unapata mpaka vyakula cya kibongobongo Bamia mihogo maharage kunde mbaazi sato kambare unga wa mahindi wa muhogo matoke nyanya chungu nk kwa bei za kawaida sana. Sweden mimi nilikua nikifanya shopping ya kroner 200 nakula week nzima au name nusu kama nimeweka. MKate mmoja mkubwa na mayai moja na heinz beans Kopo tano na bacon packet moja name mushrooms moja hiyo ni breakfast ya week nzima hiyo. Simu natumia lebara au lyca cheap calling home. Internet free so napotezea vocha sometime najikita kwenye whasap calls au Skype.
Ishu huwa ni kwenye rent tu kama alivosema Copenhagen. Chakula sio ishu kabisa. Kama jamaa Ana rent nyumba kwa kuchangia na washkaji basi analipa robo ya ambacho angelipia kama Angekua peke yake. So I can imagine he is saving a lot kama anafanya kazi 14 hours Denmark. Huko malipo yao yako juu mishahara mikubwa. Kwa kipato alichokitaja Copenhagen in a maana anachezea about 15 M Tzs na bads ya kodi anabaki na about 10M. Peke yake kisela naamini hamalizi 2000 kroners Kwa mwezi kama anajipikia mwenyewe home. Na kroner 2000 ni about 200 pounds sawa na 700.000 Tzs roughly. So you can imagine kama kweli hicho ndo kipato Chake basi anaweza save karibia 8M Tzs Kwa mwezi. Ni kazi ngapi bongo ambazo malipo yake baada ya kodi na kula unaweza baki na 8M?. Nimeishi scandnavia wala siwezi kumpinga huyu bwana. Kama ana juhudi ya box kweli kweli na kama analipiga Kwa malengo flan basi hela hiyo anaitengeneza kweli. Katika sekta ya umma bongo bila kupiga dili na kutunga safari na semina za ajabuajabu hupati hela nje ya mshahara wako ambao baada ya kodi unabaki pengine na chini ya M moja. Umeme mafuta maji vocha ada za shule. Na kama mnywaji bado hajanywa bia. Maisha katika sekta ta umma kama semina na safari vikibanwa yanakua magumu hasa kama unaishi Dar.
 
mkuu ritz mimi nafanya kazi tatu. Kaaz ya kwanza Naanza alfajir saa 11 namaliza saa 3 (masaa manne) kufagia supermarket usidhan natumia chelewa au fatuma ni mashine mkuu.

Nikimaliza faster nawahi treni kuingia kwenye mzigo mwengine maamae kuosha vyombo (the best job I like) wamenipachika the best dishwasher in Europe maamae kwasabab navyopiga vyombo kwa utaalam wakipekee ni restaurant ndan ya kampun flan tunahudimia 800+ customers maamae hapo napiga masaa sita maamae 10am to 16:00.

16:00 to 18:00 ninazuga center tu au sometimes nazuka ghetto. 18:00 to 23:00 naenda kusafisha gerej ya matrack ni kaz ya masaa 5 mimi maamae nakupigia manne sometimes matat na nus hasa sasa hiv summer si kuchaf sana winter balaa. Halaf kwenye hii kaz unaweza kuondoka kabla ya mda wake as long umetimiza wajib

Safi Sana Copenhagen hizo ndizo kazi hasa za kuchangisha. Zipo nyingi mno Ulaya ni nguvu yako yako tu.

Ila angalia Sana afya hasa kupumzika Kama Leo ndio siku yako ya kupumzika basi unauchapa usingizi.
 
Kwa hiyo msahara wako ni $1800 per month?

Mkuu kwa huu mshahara kweli ukitoa matumizi yako unaweza kweli kuja kuwekeza kwenye sekta ya mabenki na mashamba kama anavyosema Copenhagen?

Huu mshahara mbona huko Tanzania watu wengi tu tena wa maisha ya kawaida wanakusanya hiyo pesa kwa mwezi.

Mkuu masuala ya mortgage nilimaliza kitambo hivyo hiyo inatosha sana kufanya kila nnachokipanga. Halacu usisahau Kuna Shemeji yako pia hivyo nae ni nesi hospitalini NA unafahamu manesi wanalipwaje Ulaya?
 
Una IQ ndogo sana
 
Mkuu, unaweza ukawa uko sahihi katika madai yako.

Lakini hayo tote uloeleza Ni asilimia ndogo Sana kulinganisha NA watoto wengi NA hai baba zao. Lakini kila kitu kinaanzia nyumbani NA inategemea NA setup yako. Ukikosea mahala basi mtoto atapotea njia.
Mimi walimu na watoto wangu wanafahamu kwamba nikiitwa shuleni kwa jambo la kijinga basi kutawaka Moto. Na watoto watakosa kila kitu wanachopata ikiwa watafanya ujinga.

Ni kuwa karibu na watoto kwa kila jambo wanalopitia NA hasa internet.

Ukizidisha Sana maboksi utasahau watoto.

Nakutakia kila la kheri katika malezi bora ya watt wako,naamini hawatafuata ujinga na mambo ya ajabu ajabu ya dunia ya kwanza...
 
mkuu ritz mimi nafanya kazi tatu. Kaaz ya kwanza Naanza alfajir saa 11 namaliza saa 3 (masaa manne) kufagia supermarket usidhan natumia chelewa au fatuma ni mashine mkuu.

Nikimaliza faster nawahi treni kuingia kwenye mzigo mwengine maamae kuosha vyombo (the best job I like) wamenipachika the best dishwasher in Europe maamae kwasabab navyopiga vyombo kwa utaalam wakipekee ni restaurant ndan ya kampun flan tunahudimia 800+ customers maamae hapo napiga masaa sita maamae 10am to 16:00.

16:00 to 18:00 ninazuga center tu au sometimes nazuka ghetto. 18:00 to 23:00 naenda kusafisha gerej ya matrack ni kaz ya masaa 5 mimi maamae nakupigia manne sometimes matat na nus hasa sasa hiv summer si kuchaf sana winter balaa. Halaf kwenye hii kaz unaweza kuondoka kabla ya mda wake as long umetimiza wajib
Duh! Mkuu unapiga boksi kisawa sawa lakini jaribu kufanya hivyo kwa malengo ya muda mfupi.

Afya yako ni muhimu sana. Enough sleep at least 8 hours ni muhimu sana. Kufanya kazi kwa masaa mengi na kwa muda mrefu ina impact kubwa kwenye afya. Stress ni slow killer. Unaweza usione madhara yake straight away lakini ukayaona baadae. Mfano, Diabetic, Depression, Dementia, Bood pressure, Uzee na kadhalika.
 
mkuu ritz mimi nafanya kazi tatu. Kaaz ya kwanza Naanza alfajir saa 11 namaliza saa 3 (masaa manne) kufagia supermarket usidhan natumia chelewa au fatuma ni mashine mkuu.

Nikimaliza faster nawahi treni kuingia kwenye mzigo mwengine maamae kuosha vyombo (the best job I like) wamenipachika the best dishwasher in Europe maamae kwasabab navyopiga vyombo kwa utaalam wakipekee ni restaurant ndan ya kampun flan tunahudimia 800+ customers maamae hapo napiga masaa sita maamae 10am to 16:00.

16:00 to 18:00 ninazuga center tu au sometimes nazuka ghetto. 18:00 to 23:00 naenda kusafisha gerej ya matrack ni kaz ya masaa 5 mimi maamae nakupigia manne sometimes matat na nus hasa sasa hiv summer si kuchaf sana winter balaa. Halaf kwenye hii kaz unaweza kuondoka kabla ya mda wake as long umetimiza wajib
Angalia mdogo wangu usije kuanguka chooni, kwa mwezi una make kiasi gani?
 
Haaaaaa hilo swali gumu sanaaaaa, nafikiri hawezi kukujibu...kuna maswali mawili watu wa dunia ya Kwanza huwa hawapendi kabisa,"Unafanya kaz gani" na "unakuja lini bongo",hayo maswali ni Mitihani kaka
Kazi ni kazi ili mradi mkono uende kinywani, hivi kama nchi watu wote wakiwa maafisa nani atawasafishia vyoo?? Tatizo humu ni wivu kwa wabeba mabox ila ngosha kaja tutawaheshimu tuu.Kingine kuja bongo kwani huku bongo kuna nini cha ajabu??watu wanakatiza huko ma nchi ya Euro/far east ma holidays..mtu anaongea eti kuja huku bongo.. Mie ninachojua wabongo ni wavivu sana na ni watu wa kulalamika kila wakati, chapeni kazi mpate pesa muda wa ma deal karibu unaisha sasa...Hapa kazi tuu.
 
Haa ! Diaspora Muogopeni Mungu...uwezo huo upo kweli?maana ikitokea diaspora kapoteza baba au mama huku bongo..kila siku tunachangisha michango huku ili diaspora mmoja apate nauli ya kuja kumzika mzazi wake... So .. so .. Pathetic..!tuache kujitutumua wakati nauli ya kurudi tu ni mtihani....

Kupitiua scheme za kunenepesheana NSSF kupitia JK wakapatia ninachokiita upendeleo!
USD 300x2150tsh@2016= 645.000/12= 53.750tsh kwa mwezi kama mchango/5(watu)= 10.750/= kwa mwezi!

WESTADI Scheme

Premium
Payment of prescribed premium of USD 300 per person per annum
Benefits Package
  • Health Benefits in Tanzania for 4 Dependants
  • Repatriation
    • Transfer of deceased body to Tanzania
    • Cost of return ticket to one accompanying person
  • Burial services for an insured person who opts to be buried in Diaspora respective country
 
Mkuu masuala ya mortgage nilimaliza kitambo hivyo hiyo inatosha sana kufanya kila nnachokipanga. Halacu usisahau Kuna Shemeji yako pia hivyo nae ni nesi hospitalini NA unafahamu manesi wanalipwaje Ulaya?
Shemeji yetu ni mtanzania au mzungu?

Kama mzungu angalia sana Child support payments mkizinguna.

Utajikuta mweupe.
 
mbona kawaida ni sisi wabongo tu hatuwez. Mbona mapopo (West Africans) Nepalese na bengalis wanakupigia had 17. Halaf inategemea background yako

Dah kweli ww mtu umeenda kutafuta na sio jingine,Sema Angalia afya yako muhimu sanaaaaa, kuwa na mda mwingi wa kupumzika kaka,kama utapenda naweza kuja kukutembelea kwenye mwez wa 11 au 12,maana kuna mwanangu anaishi pande hizo,so kama utapenda tunaweza kutana kaka
 
The regime needs to see this with a third eye. For instance whatsoever me am capable of investing millions of pounds in banking and real estates and vast industrial sector.

The obstacle is I can't risk Just dumping my bulk cash just like that for the sake of investing until this CCM regime convince me by putting favourable and conducive environment for me to invest.
We, hata Kiingereza hujui (licha ya kudai kuwa unaishi Uingereza), kujenga hoja hujui, haishangazi kuwa hata nadharia ya uwekezaji huna, sasa utawezaje kuwekeza hapa nchini kwetu. Basi wekeza huko ughaibuni tukusikie kuwa Mtanzania mwekezaji nchini UK, Achane opportunism. Enzi wa Kikwete na 'ubitozi' (utoto) wake kwisha. We are a serious country on the move.....
 
ni kwel mkuu elim yangu ni maghumash hata iyo form four yenyewe yakuunga unga. Ila ntarud shule nikitimiza malengo yang 2020
 
mkuu ritz mimi nafanya kazi tatu. Kaaz ya kwanza Naanza alfajir saa 11 namaliza saa 3 (masaa manne) kufagia supermarket usidhan natumia chelewa au fatuma ni mashine mkuu.

Nikimaliza faster nawahi treni kuingia kwenye mzigo mwengine maamae kuosha vyombo (the best job I like) wamenipachika the best dishwasher in Europe maamae kwasabab navyopiga vyombo kwa utaalam wakipekee ni restaurant ndan ya kampun flan tunahudimia 800+ customers maamae hapo napiga masaa sita maamae 10am to 16:00.

16:00 to 18:00 ninazuga center tu au sometimes nazuka ghetto. 18:00 to 23:00 naenda kusafisha gerej ya matrack ni kaz ya masaa 5 mimi maamae nakupigia manne sometimes matat na nus hasa sasa hiv summer si kuchaf sana winter balaa. Halaf kwenye hii kaz unaweza kuondoka kabla ya mda wake as long umetimiza wajib

Ww mtu jasiri sanaaaaa,kuna watu huwa hawaongei kweli aise,courage sanaaaaa bro
 
Back
Top Bottom