mdaharunga
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 413
- 401
Makalio yenuuuu!,nguo munaagiza toka huku,eti"tuje kuwekeza"huju munabana pua!.
Pelekeni fangas zenu huko mbele,noti siyo kama mavhuz kuwa hata nyie wakosa usibgizi mutazipa,vipapa vyenuu!,hamuwezi kuzikana mutaweza kuweza!makalio nyie.
Munapoteza muda,miaka kumi dola elfu kumi,chawa bata nyie.
there is no favourable and conducive environment for a real serious and potential investor like me to invest this is due to political instability no democracy and no transparency for instance the issue of Zanzibar and the mtandao act. Also the infrastructures are in bad condition Airports are not safe. High crime rates corruption at highest level mizaha wivu chuki hila ghilba choyo kinyongo uvivu elimu maghumash go on and on.
CAN'T RISK TO PUMP IN MASSIVE CASH TO INVEST IN SUCH CONDITIONS.
kwani mimi nilikuja kuish huku milele? Kwani mimi sina mashamba na nyumba bongo? Wee vp? Nimekuja huku kutafuta. Nafanya kaz masaa 14 -15 kwa siku ispokuwa j2 Ndio maana unaniona sasa hiv niko active hum kesho siingi mzigon.
Kuhus kodi ya pango nikusave mkuu. Kodi ya pango tu hapa kwa mwez viwanja vya kutosha ama mashamba tanga. Mimi nashare na masela ninasevu karibia milion mbil za bongo kama ningeish ama kupanga apartment kivyang.
Sitaish hiv kubeba boks milele nimejiwekea target had 2020. Nina akiba ya hela ya kutosha tu. Na bongo nina asset za kuridhisha. Nilipokuwa bongo kufikisha hata laki ilikuwa ngumu kwa mwez lakin sasa hiv maamae 47000tzs × 14 × 6 ×4 kodi 36%
Bado hajajib mkuu. Angejibu email yangu tena mnadhan mngekuwa na aman humu maamae. Nani hapendi Kuwa milionea wewe. Wee ngoja nizikamate
Zitoe hizo record tuzichambue tuone.Nna uhakika, record zipo umu.
Unataka kuniambia kama zile machine za kuosha vyombo au??acha uongo aisee,watu wanaosha kabisaaaaaa vyombo,nimejionea kwa macho yangu
Naamini uzoefu wetu sisi Diaspora na wenzetu nyumbani al-maarufu "Wala Vumbi" utatuvusha na kuelekea uchumi wa viwanda. India, Vietnam, Korea wamefanikiwa sana kuwatumia Diaspora kuendeleza viwanda vyao leo hii india inazalisha Magari "TATA", madawa ya binadamu & huduma-post modern za afya. Yote haya ni mazao ya Diaspora!
Mkuu huyu hawezi kuwa ulaya, atakuwa katokea Mbagalayaani uko ulaya halafu unaandika pumba namna hii:
Mkuu hebu niambie umesomea wapi ambapo hawaoshi vyombo?Mkuu mie nimesoma huko, pale nipopanga tu sikuwahi hata siku moja kuosha vyombo.. Tulikua vyombo vichafu vyote ni kuweka kwa dish washer na kusubiri later kuvitoa baasi..na mahoteli makubwa yana heavy duties dish washer sema kuna vyombo baadhi ndo itumike mikono but vingi ni mashine tu...
Mkuu hebu niambie umesomea wapi ambapo hawaoshi vyombo?
Mkuu mie nimesoma huko, pale nipopanga tu sikuwahi hata siku moja kuosha vyombo.. Tulikua vyombo vichafu vyote ni kuweka kwa dish washer na kusubiri later kuvitoa baasi..na mahoteli makubwa yana heavy duties dish washer sema kuna vyombo baadhi ndo itumike mikono but vingi ni mashine tu...
Ushaanza leta Siasa, mazingira gani mingine mazuri unataka wakati Tanzania toka zama za Mkapa hatujawahi shuka zaidi ya top 6 kwenye kuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji.The regime needs to see this with a third eye. For instance whatsoever me am capable of investing millions of pounds in banking and real estates and vast industrial sector.
The obstacle is I can't risk Just dumping my bulk cash just like that for the sake of investing until this CCM regime convince me by putting favourable and conducive environment for me to invest.
Well said Eric, lakini kwa ufinyu wetu mdogo wa Bajeti, huoni ni busara kutengeneza mazingira mazuri ya kuvutia awekezaji kwanza (nje ya wizara ya viwanda) kusudi tuwatamanishe hao wawekezaji (diaspora wakiwemo) wake kuinvest Tanzania.Walipo kuja na kilimo kwanza juu ya mapungufu yake kutokana na udhaifu wa mfumo wa usimamizi wa rasimali mbolea na dhana zingine; muhimu ya yote kwanza walikuwa na plan ambayo inalenga wapi waende, idadi ya mabwana shamba, researches za mbegu, wakaja na mashamba shule kusaidia wanakijiji namna sahihi ya kuangalia mashamba yao, follow up ya mavuno na kwa sehemu kubwa imezaa faida ya uzalishaji mkubwa wa volume kwa hekari zilezile kama sehemu ya malengo (the whole thing was thoroughly planned).
Leo hii waziri wa fedha 'Dr Phillip Mpango' akishirikiana na Marehemu 'Dr Abdallah Kigoda' pamoja na 'Dr. Kandeh K. Yumkella' ndio watunzi wa "TANZANIA INDUSTRIAL COMPETITIVENESS REPORT 2012". Humo ndani wamekuja na economic model yao on how best to foster competition.
Sasa leo tujieleze yeye akiwa waziri fedha ambapo viwanda na uchukuzi ni kama zipo chini yake moja kwa moja wana model gani ya miaka mitano maana sh80b iliyotengwa wanadai kwenye budget ya mwaka ufuatao ni nusu tu inaelekea kwenye viwanda sasa hapo sijui wanalenga viwanda gani wakati medium size industry kwa madai yao ni kama $50m kuanzia.
Wkati huo huo huku wakipita wakidai hoo wakulima na viwanda lazima kuwe na harmonization considering the budget and without a figurative economic model as yet on industrial growth approach is aimed na idadi ya watu na viwanda ujue jamaa bado wanasikiliza IMF na WB wanawaambia nini lakini hakuna sera ya viwanda vya ndani zaidi ya porojo tu kilichobaki tusubiri PPP waliyoshauriwa waende kupeleka mabakuli ya kuomba wawekezaji lakini so far serikari aijaonyesha wako serious waziri mwenyewe mdogo ndio kwanza anatuambia riba azitaguswa I doubt he knows anything about macroeconomic growth factors.
Diaspora mwenye akili zake timamu awezi poteza muda kusikiliza porojo uchwara zinazoongelewa na wanasiasa wa Tanzania.
kwa mantik iyo bas nakujaUshaanza leta Siasa, mazingira gani mingine mazuri unataka wakati Tanzania toka zama za Mkapa hatujawahi shuka zaidi ya top 6 kwenye kuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji.
Zimepita zama za shamba la Bibi unainvest bila kulipa kodi na unadhaminiwa na BOT kuchuku mkopo.
Duniani Kulikuwa na Taifa rafiki kuinvest Kama hilo?
Anyway its time sasa karibu ufanye investment Bongo wadogo zako tupate chochote
Lakini hizo Comments za watu wengi, zinaonyesha jinsi JF ilivyojaa majuha kipindi hiki, zimekaa kimsutano, zimetoka kwa watu waliojaa Wivu, na wengi wanaonyesha wamepigwa mbaya na maisha.
Wana point hapa, wanatakiwa wapate ushaur mzuri, Somo la UZALENDO, kutolewa HOFU ya kuwekeza kwenye Small scale, Kununua shares Bongo na kuaminishwa kwamba one day watatakiwa kurudi Bongo.
Wallah nakwambia kwa kidogo walichonacho, Amabacho ni kidogo kufanya investment hukoooo majuuu (but kiuhalisia ni kikubwa Bongo) waje wekeza huku kwa manufaa yao na WaTanzania wenzao.
Sijakataa kuwa hakuna madish washer, ila nakuuuliza ulisomea wapi ambapo hawaoshi vyombo kwa mkono?Vyombo vinaoshwa lakini kuna madish washer mkuu, nguo ndo hakuna kufua kabisa kwa mkono kila nyumba ina washing machine !! Teeehteeh