Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,545
Jiulize kitu kimoja huyu mange anavyopenda kujionyesha akila burger tu atapost leo hii awe na nyumba ya $1m aache kuionyesha? hata kama iko kwenye matengenezo asiionyeshe huyu mwanamke si mzima nawaambia. Hana cha nyumba wala ushuzi anapanga kiapartment cha uswahilini na ndio maana hawezi onyesha picha za anapoishi.. Mtasubiri hiyo nyumba mpaka mwisho wa dunia bytheway nyumba ya $1m LA ni nyumba chovu sana kwa watu tunaoishi marekani na kuwa LA mara kwa mara tunajua nyumba nzuri LA unapata kuanzia $5m na hiyo ya kawaida maskini anaita wenzake maskini wakati yeye hapa ndio anaonekana maskini mpuuzi sana huyu mtu
Yaani upumbavu kweli:
Matajiri wa KUZUNGU - yaani Uzungu ni sifa nyingine zaidi ya utajiri. Katika market ya Fort Lauderdale nyumba ile ya vyumba viwili tena ya kizamani sana (1967) iliuzwa kwa $235,000 tu halafu mtu anasema ni sehemu ya matajiri wa Kizungu tu. Anaweza kuwa ana point nyingine lakini hiyo juu inamdiscredit kabisa.
Ana chuki mbaya aisee, kuna siku aliweka ugonjwa wa miguu kwenye blog yake, eti wenye miguu minene ndio wanaougua huo ugonjwa, akaweka miguu ya ZARI na kusema wifi yenu mnamsifia ana miguu mizuri kumbe ugonjwa huo kaubeba. Dah. nilishangaa siku nzima unawezaje mchukia binadamu mwenzio naman hii tena hata hamjawahi gombana? Mange hapana aisee, hivi hakuna mpare atuambie maana ya hili jina? au kapewa la kimakonde upande wa mamake tupewe tafsiri yake please pengine jina ndio tatizo sijui ni masumbuko, chuki, mwehu au ? Loh.
zingifuri ungenichambia huyu njiti ningekuoana wa maana sana.Kwenye blog yake tangu aachage kupitisha facts zinazomwagwa na kufungia watu wasiingie ndio nilijuaga kuna kajitu hakako ok, anajifanya anajua ila akiona wasemao facts za kumvuruga bichwa anawatema ili aonekane yupo juu kwa wale wanaomshadadia.
Na wengi wanaingia kusoma, hata likes zake kwa topic nzuri familia walianzaga kumchunia...inaumaje hapo basi
Mwimbo wa mdogo mdogo wa D unamuhusu sana....
As I said most of rich people are living there.. Sijasema billionaires hawapo pia
And I mostly appreciate ATL kwenye upande wa Real Estate ndio maana nikawa namshangaa huyu binti anavyoidharau ATL kiasi cha kuifananisha na Shinyanga
Atuwache wasukuma wa Shy, hatuombi ugali kwa mtu.
Na nyumba ya milioni moja Marekani ni ya kutambia? Really?
Na kwa mtu anayejua uchumi hawezi kununua kijumba cha dola milioni moja L.A.
Hupati value for money hapo kwa sababu unacholipia ni jina na/ au eneo lakini si property yenyewe kiuhalisia.
Dumb wasteful spending.
Si kaja juzi juzi haelewi kaona kafika masikini ya Mungu hajui $ million moja LA ni kaji apt ka 2bedrooms tena ushenzini huko but all in all hajanunua nyumba huyo mwanamke believe me when i say that.. kwa mashauzi yake ya kijinga nakwambia angeonyesha kama alikuwa anaonyesha viwanja sijui mbweni havina hata nyumba leo asionyeshe nyumba kwenye mtaa wa wazungu weusi ni yeye na mtoto wake tu khaa mwanamke swaini huyu
Unaweza kuwa sahihi.. Haya ni maelezo yake .
Then in 2004 nilijiunga na AVU-UDSM ambapo nilipata degree yangu ya Business Administration na sasa nipo Dubai nasoma Masters(MBA)
Mostly nimekulia Dar-es-salaam.
source : BC EXCLUSIVE: MANGE KIMAMBIâs TELL-IT-ALL INTERVIEW - BongoCelebrity
AVU ilikuwa ni African Virtual University ambayo sina uhakika kama bado ipo. Ilikuwa inatumia majengo ya computer science hapo UDSM na hata Director wake alikuwa ni Profesa wa hapo UDSM- nadhani Profesa Mwinyiwiwa. AVU siyo sehemu ya UDSM na wala haitambuliki kama AVU-UDSM. Wenye elimu ya kuungaunga utawajua tu, wanapenda sana kujikweza kielimu.
Una uhakika hakuna wealthy people ATL?
Unajua kuna Forbes billionaires wangapi ATL?
Wealth kwako ni kuanzia dola kiasi gani?
Soma hii profile kutoka Forbes:
Source
GDP ya Atlanta ni kubwa kuliko ya Miami. Ni kubwa kuliko ya Czech Republic, Ireland, na Algeria.
Hapo tunazungumzia mji tu na si jimbo zima la Georgia.
Soma na hii:
That is nothing to sneeze at.
Jiulize kitu kimoja huyu mange anavyopenda kujionyesha akila burger tu atapost leo hii awe na nyumba ya $1m aache kuionyesha? hata kama iko kwenye matengenezo asiionyeshe huyu mwanamke si mzima nawaambia. Hana cha nyumba wala ushuzi anapanga kiapartment cha uswahilini na ndio maana hawezi onyesha picha za anapoishi.. Mtasubiri hiyo nyumba mpaka mwisho wa dunia bytheway nyumba ya $1m LA ni nyumba chovu sana kwa watu tunaoishi marekani na kuwa LA mara kwa mara tunajua nyumba nzuri LA unapata kuanzia $5m na hiyo ya kawaida maskini anaita wenzake maskini wakati yeye hapa ndio anaonekana maskini mpuuzi sana huyu mtu
Mange anasema hamuwezi kujifananisha na wa daslamu teh teh kawadharau sana wasukuma huyu
Mtu yupo majuu kutwa kuchwa analia na mafanikio ya wenzie East Africa.
Anasema hamna mtz anayesomesha mtt chini ya miaka mitano ila yeye USA nzima.
Mie nadhan zile sembe alizokua anauza mzee wake na huyu alikia anarambishwa sio bure