Hao ndo wanaompoteza Wema wala hawamsaidii.Halafu nimeona dogiemasta nae kaingua front kumchamba ladynaa!!!hawa team upuuzi hapana kwa kweli
Sio wasiojitambua wanaonuafaika kupitia mgongo wake wanahofu akishtuka watakosa pa kula that's why!!Hao ndo wanaompoteza Wema wala hawamsaidii.
Yupo mwingine anaitwa Hopeoliver ni mpuuzi mwingine anaye mshauri wema ujinga.
Halafu tatizo huyo Wema kazungukwa na watu wasiojitambua.
Kabisaa ndo maana wanampaka mafuta Kwa mgongo wa chupaSio wasiojitambua wanaonuafaika kupitia mgongo wake wanahofu akishtuka watakosa pa kula that's why!!
Wewe ngoja nizamie hukoIG kumechafuka jamani nendeni ladynaa anamchamba Wemaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sheeeedaaaa!!!!
Hiyo ndo point kubwa...Sio wasiojitambua wanaonuafaika kupitia mgongo wake wanahofu akishtuka watakosa pa kula that's why!!
Yani Wema ndo angekuwa mtoto wangu ni bora kubadilishana na Gunia la maharage nipate mboga ya kula mwaka mzima [emoji3] [emoji3]Kabisa kabisa yaani daah!Leo Zari wamemuona mburura mpk Esma kampost Wema jamaniiiii!!!
Hawa watu wana dhambiiii!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] yaani Mungu alinde watoto wetu!Yani Wema ndo angekuwa mtoto wangu ni bora kubadilishana na Gunia la maharage nipate mboga ya kula mwaka mzima [emoji3] [emoji3]
Shost zari humpendi na wema humpendi huwa unapenda Mond awe na nani? Ukiwa wifi wewe kazi si inakuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa kabisa yaani daah!Leo Zari wamemuona mburura mpk Esma kampost Wema jamaniiiii!!!
Hawa watu wana dhambiiii!!!
Ninavyopenda couple ya wema na mond ngoja tu nitulie.Yaani dah!hapana kwa kweli this too much!!!
Elimu,elimu,elimu....!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shoga angu!Shost zari humpendi na wema humpendi huwa unampenda Mond awe na nani? Ukiwa wifi wewe kazi si inakuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni ukweli mchungu
Ushawahi kumpenda mtu kwa dhati kabisa? Wema atazunguka kote ila mwanaume anaempenda ni mond.[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shoga angu!
Mimi sipendi upuuzi Zari nilikua namkubali haswaa looh!alivyomuita Wema tasa nikampotezea Tafuta thread za Warumi
Wema nae nilikua nampenda jamani mpk hapa nampenda ila kwa haya anayoyafanya ngoja tumpe ukweli tu!!!
Abadilike tu awe na ht harmorapa ila afanye kazi zake
Sidhani kama ana akili ya biashara, kila anachofungua kinakufa. Vipi ulishawahi kununua hata zile kiss by wema sepetu?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi afungue hit mgahawa tutamsapoti mie team ukweli no ujinga