Diamond: Wema ndo mwanamke aliyekuwa akiniliza

Jaman yule jamaa wa kikristo akakutorosha na kukubadili dini juu,kakutosa ukarudi home mpooleee na kurudia dini yako ya asili maskin sasa wewe na aunt au wolper mna tofaut gani kisa muhogo unakana dini jaman jaman.
Yote maisha tu we aliyekuoa mke wa pili umepata nini?!!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Pole weyeeeee!!!!!
 
Domo naye aache uhuni
Si alisema Zari ndio kila kitu, atatembelea magoti kutoka hapa mpaka South Afrika kuomba msamaha!
Sema ujue watu wakisha achana kila mtu huwa ana jifanya hajali.
Naona kaka ume comment kwa eksipiriensi.

Salute
 
Jaman yule jamaa wa kikristo akakutorosha na kukubadili dini juu,kakutosa ukarudi home mpooleee na kurudia dini yako ya asili maskin sasa wewe na aunt au wolper mna tofaut gani kisa muhogo unakana dini jaman jaman.
Ndo kilichokuleta jf shoga angu hongera basi!

Kazi unayo!!ahsante smartphone bora miye nimetoa ht gundu Haya wewe utachina hvyo hvyooo!!![emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3]
 
Nilisahau kukuambia last week nilikua Dom kanikabidhi nyumba IPO kisasa nyuma ya St Gasper karibu na kwa Kigodaa
 
Jaman yule jamaa wa kikristo akakutorosha na kukubadili dini juu,kakutosa ukarudi home mpooleee na kurudia dini yako ya asili maskin sasa wewe na aunt au wolper mna tofaut gani kisa muhogo unakana dini jaman jaman.
Numby msifike huko jamani[emoji120][emoji120] hizi story za teams ni furahisha genge msichukulie serious kihivyoo!!
 
Cheki ulivyopanic quote mbili mbili hahaha makubwaaaa. Mara nimeolewa mke wa pili mara ntachina tukueleweje sasa.
Ndo kilichokuleta jf shoga angu hongera basi!

Kazi unayo!!ahsante smartphone bora miye nimetoa ht gundu Haya wewe utachina hvyo hvyooo!!![emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3]
 
Angekukaza kabisa ili uache chuki kwa zari maana ile nyumba sauz inakutoa povu poule
Geniveros interview on muosha rungu live show!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] tatizo wewee unapaaanikii

Watu wa vijijini bwana Numbisaa utaniacha hapahapaa

Take a chill pill

Umepaaaaniki poleee

Nna yangu ya hapa Dar halafu juzi amenipa ya Dodomaaa woyoooo!!!!
 
Mkuu kuombea mtu afie leba haina utimu kabisaaa,fikiria waliopoteza ndugu zao waliofia leba wengine ni uzazi wa kwanza,lakin mwanamke huyu from nowhere anaombea mwenzie afie leba,utadhan kuzaa ni dhambi
Numby msifike huko jamani[emoji120][emoji120] hizi story za teams ni furahisha genge msichukulie serious kihivyoo!!
 
Nani kapinc nakupa ukweli uliyoropoka humu. Siwez panic sababu hakuna hata moja ulilolisema lenye ukweli ila yangu yanakuchoma sana tu. Hongera kwa kuhongwa nyumba naona unafuata nyayo za zari power of P khe khe kheeeee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] tatizo wewee unapaaanikii

Watu wa vijijini bwana Numbisaa utaniacha hapahapaa

Take a chill pill

Umepaaaaniki poleee

Nna yangu ya hapa Dar halafu juzi amenipa ya Dodomaaa woyoooo!!!!
 
Cheki ulivyopanic quote mbili mbili hahaha makubwaaaa. Mara nimeolewa mke wa pili mara ntachina tukueleweje sasa.
Nilikua nakukumbusha tu kua nimepewa ya Dodoma makao makuuu ya nchi[emoji1] [emoji1] team ushindi always

Pole kwa kupaniki bidada

Oohhj psssss chukua thread nyingine pia uiweke!!!

Yaonekana ulikua unanitafuta upate kuunga matukio

Etii! We mlugalugaaa..bwaaaaahhhhhh!!!!

Byeeeeeee!sikujibu mie mtu wenyewe Kula kacheze!!#[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

One luv
 
Mkuu kuombea mtu afie leba haina utimu kabisaaa,fikiria waliopoteza ndugu zao waliofia leba wengine ni uzazi wa kwanza,lakin mwanamke huyu from nowhere anaombea mwenzie afie leba,utadhan kuzaa ni dhambi
Haya basi mfanye yamepita tuendeleeni na story za insta.
 
Yeah umehongwa hahahah sion tofauti ya akifanyacho wema na ukifanyacho wewe so punguza chuki pole sana and congrats kwa kuhongwa nyumba. Congrats kwa kuhongwa nyumba. Always power of P...y wins. Awesome

Ngoja ka lulu katoke gerezan kakutoe mapovu zaidi daah una kazi kweli madam
Nilikua nakukumbusha tu kua nimepewa ya Dodoma makao makuuu ya nchi[emoji1] [emoji1] team ushindi always

Pole kwa kupaniki bidada

Oohhj psssss chukua thread nyingine pia uiweke!!!

Yaonekana ulikua unanitafuta upate kuunga matukio

Etii! We mlugalugaaa..bwaaaaahhhhhh!!!!

Byeeeeeee!sikujibu mie mtu wenyewe Kula kacheze!!#[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

One luv
 
Ushawahi kumpenda mtu kwa dhati kabisa? Wema atazunguka kote ila mwanaume anaempenda ni mond.

Tutachukia na kuchukia ila ndiyo mwanaume wa maisha yake.

Kuna watu wanafanya vitu vya hovyo kuliko yeye ila ndiyo basi tu huyu dada ana nyota ya kusemwa.
Baasi dai amuoe jamani!!!maana akimuacha sa hivi...itakua mtihani!!
 
Back
Top Bottom