BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Inahitaji moyo Mkuu kulizwa na Kunyuu kama Wema.
Binadamu ama kweli tunatofautiana.
Binadamu ama kweli tunatofautiana.
He he he he
Wema naona japo anazeeka ila nyota yake haizeeki...
Kweli mganga wa Wema kiboko.