Diamond: Wema ndo mwanamke aliyekuwa akiniliza

Diamond: Wema ndo mwanamke aliyekuwa akiniliza

Kwa Zari ana watoto wawili wanaojitambua. Watoto wenye vipaji na wanaolelewa katika makuzi bora kabla hata ya umri. Mondi asipomthamini hata kuonyesha thamani ya Zari kwa hata sababu ya watoto wale, basi atakuwa msukule wa mahala fulani.

Hicho ki hamisa kilambalambile, limbukeni, ushamba, ushambenga na kila aina ya kukosa akili kichwnai. Akienda kule ni kwa sababu basi atakuwa na tabia za uguruguruw hivi. Kazoa kuishi matopeni, pema hapawezi. Anafeel more at hom akiwa na vizabizabina kuliko mazingira staarabu.
Kiswahili Kitamu
 
Teh hapo kwa kajala inasemekana lakini, nlisikia clip moja mdada anasema kajala kiboko alikalia kitu ya kanyau, wakati kanyau ana dude la kijeshi yani punda akasome, huyo dada anasema alikua kapewa hela akasarenda akaacha na hela jinsi dude lilivo heavy duty ila kajala alilikalia.... Kama ni kweli shkamoo kajala

Alafu ukute lazima na kakalia na tigo pia . Yaani K & Tigo zote zimepita... Ila kajala kwa matege yale ana mashimo labda hata kichwa kinapita aiseee... Maana ana matege na mkxndx XXXXXXXlargeeeee

Yafaaa utumie dildo K na jicho unapiga mashine hapo atasikia.. Ila sex iacheni tu unakuwa kichaa alafu unarudi normal..hata bila ky pale jicho unakula.. No sex no life,
 
Domo naye aache uhuni
Si alisema Zari ndio kila kitu, atatembelea magoti kutoka hapa mpaka South Afrika kuomba msamaha!
Sema ujue watu wakisha achana kila mtu huwa ana jifanya hajali.
nyie wanaume basi tu hamtabiriki
 
Back
Top Bottom