Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,660
- 33,675
kwa sie wanasaikolojia,Mond yuko hurt ,haamini yametokea...so yuko in denial,kusema mambo ya Wema hadharani ni'kupeleka ujumbe kwa Zari' ili kumuumiza.....Mondi what you are going through is understandable...it will pass, ila before then lazima uumie haswaa,lol hakuna kuona pepo kabla hujafa...lol