Mahawala hawaachanagi hata siku mojaNaona jamaa anatamani kurudi kwa wema,acha tusubiri muda utasema
View attachment 717810
Watoto wa uswazi hawa, akili kisodaDomo naye aache uhuni
Si alisema Zari ndio kila kitu, atatembelea magoti kutoka hapa mpaka South Afrika kuomba msamaha!
Sema ujue watu wakisha achana kila mtu huwa ana jifanya hajali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watoto wa uswazi hawa, akili kisoda
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji2] kajala ana bwawa na yeye,Diamond hakutegemea km atakua maarufu kias cha kuwala Bongo Celebrities kirahis hvyo!!
Anatafuta huruma tu hapo hamna jipya si bora arudi kwa Hamisa walee mtoto vzr kuliko huyo mhenga
Haiwezekani ile taipu miguu pale mhogo jang'ombe shuaIla domo malayaaa asee...si kwa kiborooo chake kuzurura kila shimo!
Ila da mange alisema kiko kama sindano eti aliambiwa na kajala
Unashindwa Kumalizia vizuri kama umeanza vizuri??endeni mkamlee mama watano!
aisee ngoja nijiunge insta maana ma newz kama haya yanatupita tu.....Naona jamaa anatamani kurudi kwa wema,acha tusubiri muda utasema
View attachment 717810
Na mtoto wa sita anakuja soon.....Diamond amesema hayo alivyokua anafanyiwa interview huko Kenya alipoenda Kuzindua album yake ya 'A boy from Tandale'
Kua amethibitisha Zari amemuacha tarehe 14 February 2018 ila mwanamke aliyempenda haswaaa na kufanya alie ni Wema haswa pale alipokua anamfanyia vituko na visa ktk mahusiano yao.
Kuna muda alikua akiwa na wema anahis yuko peponi haswaaa!!japo kwa sasa they are not together anymore zaidi ya urafiki tu na kabla ya kuachana na Wema hakutegemea kama angeweza kuishi bila Wema na ilimchukua muda kumsahau Wema so kwa muda wa miaka minne waliyoachana wala hana mapenzi na Wema zaidi ya urafiki na atakua host wa Wasafi Media.
Kwa sasa yuko busy kutangaza album yake mapenzi baadae!
Hayo ndo ya Diamond na Zari,Diamond na Wema (wote wapo single)mliokua mnammendea Zarina the time is now sasa Dogo kashatemwa nendeni mkamlee mama watano![emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Jenny naomba nikufuate PM.Atafia labor!!
Kwa mwili wa Kajala lazima atakua na RamboIla domo malayaaa asee...si kwa kiborooo chake kuzurura kila shimo!
Ila da mange alisema kiko kama sindano eti aliambiwa na kajala