Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,615
- 24,263
Kweli?Weuweee .....aliyeachwa ni Zari shtuka! Domo alikuwa amwshamuacha zaituni kiligwaijo kitambo tuu...
Na ndio maana team yake wana hasira kali!
Kweli?Weuweee .....aliyeachwa ni Zari shtuka! Domo alikuwa amwshamuacha zaituni kiligwaijo kitambo tuu...
Na ndio maana team yake wana hasira kali!
Yes ni mtoto wa Ilala, siku najua sikuamini.Sure?
Anaambulia child support tuu...no kiki, no kumpa maendeleo daaah!Tatizo shost aliforce kuzaa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waendelee kusubiri[emoji1] [emoji1] [emoji1] walitaka Diamond atambae mpk south!!!!
Yaani na kuna baadhi wanampamba huko insta huwa nacheka sanaAnaambulia child support tuu...no kiki, no kumpa maendeleo daaah!
Yaaan misa alidhani chibu anamuoa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] jamaniiNasikia Domo kammwaga Zari baada ya kusikia ana watoto watano ukiondoa nillan na tifa!
Halafu madeni ya zari na Ivan, uwongo wa Zari, ( nasikia bidada ana PhD ya uwongo ), kumpekekesha domo, utata wa nillan (DNA), kulipishwa ada za akina pinto, Raphael, na quincy
Zari ana wajukuu kutoka kwa first born wake jamila....duuuh domo kujua yote hayo akasepa mbio za usain bolt
True....na ukitaka ukweli fatilia interview ya Domo akiwa Kenya juzi kati,Kweli?
Heee kwa hiyo kademu?[emoji23] [emoji23]Yes ni mtoto wa Ilala, siku najua sikuamini.
Huo ni ukweli mtupu!Wanasema usililie uzuri...!
Hakuna kitu kibaya km kuzaa ili uonekane utajutraaaa au upendwe ndo yanayowakuta Zari name Missa though hatutaki kukubali ukweli!
Halafu hamna lolote sasa...hata anachofanya mjini hakielewekiYaani na kuna baadhi wanampamba huko insta huwa nacheka sana
Yes ni mtoto wa Ilala, siku najua sikuamini.
Zari ndo aloachwa ila daah!kujibebesha mimba chaapChizi lile ...huwezi andika vitu vya namna hiyo ukawa mzima
Weuweee .....aliyeachwa ni Zari shtuka! Domo alikuwa ameshammwaga zaituni kiligwaijo kitambo tuu...
Na ndio maana team yake wana hasira kali!
Mondi alikua anamtafutia sababu bimdashi akajiongeza akakaa pembeni MPIRA UMERUDI KWA KIPATrue....na ukitaka ukweli fatilia interview ya Domo akiwa Kenya juzi kati,
Listen between the lines ndo utajua nani alimmwaga mwenzake!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] jamaniii jamaniiHuo ni ukweli mtupu!
Hizi mtu mbili hazijawahi pendwa na domo
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ntakuchambaaa wit....Halafu hamna lolote sasa...hata anachofanya mjini hakieleweki
Kuzaa sio shida....tatizo uwongo wake umemponza, kujifanya domo eti kamkuta na watoto watatu, kumbe watano na mjukuu mmoja, sasa yy anaficha![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] jamanii
Kuzaa baraka witness bwana kakimbia nini sasa na si ana wawili mondi?!!
Yule haoi hata mmoja hapo..Diamond haoi Wema,Hamisa wala Zari
Kwa sababu;Bi Sandra ana gubu!!
Misa? ....tena huyo hapendwi hata kiduchu bora penny[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] jamaniii jamanii
My hamisaaa ntalia Mimi looohh[emoji26] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji26] [emoji26] [emoji26]