Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Sasa babalevo watu hawataki kulipia Kodi Kwa hiari tufanye vipi eti fundi manyumba?
 
Aendelee kukatia mauno CCM. He is having a taste of his own medicine. Kwani wakereketwa na wanachama wa chama tawala na wao wanalalamika 'barabarani' kama wapinzani? Si akalalamike ndani ya vikao vya chama huko?
 
Shetani hana Rafiki , Wewe umetumika mara kadhaa kuibeba CCM , sasa laana ya Mungu imekushukia .

Utavuna ulichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…