Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 754
- 1,442
Kama wewe ni msanii na una mpango wa kutoa wimbo ukamshirikisha huyu kijana wa Tandale inabidi ujiandae vya kutosha. Zaidi ya hapo mwachie tu wimbo uwe wake tu kama alivofanya Innos' B na Yope Remix
Hii Black Madonna Stonebwoy ndo anaonekama kama kashirikishwa wakati ni wimbo wake
Nimeshindwa kuupandisha hapa unagoma. Ila naamini wenye ujuzi wataupakia tu
Hii Black Madonna Stonebwoy ndo anaonekama kama kashirikishwa wakati ni wimbo wake
Nimeshindwa kuupandisha hapa unagoma. Ila naamini wenye ujuzi wataupakia tu